Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

GadoTz

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
350
567
Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha.

Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi.

Vigezo:
Awe na umri usiozidi miaka 34.

Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha ya Kingereza na Kiswahili.

Awe na utayari wa kujifunza.

Elimu:

Awe na cheti (certificate) au Diploma ya Sales/Marketing/Customer Service au yoyote nyingine inayofanana na hiyo.

Tuma maombi yako ukiambatanisha CV, Cheti na Transcript ya chuo ulichosoma.

Email ya kutuma: cityside255@gmail.com

Mwisho wa kupokea maombi ni 14/05/2022
 
Back
Top Bottom