nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  2. Miki123

    JamiiForums Tanzania IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

    Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022. Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja. Ila tofauti ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi - Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Kampuni ya Flydream Company Limited inashughulika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya...
  4. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Kwa Walioomba Nafasi za Deloitte Jiandaeni kisaikolijia

    Heshima kwenu wakuu. Kama uzi unavyosema kwa wale ambao waliomba nafasi za kazi Deloitte tayari wameshaanza kuwatumia email walio-apply hizo nafasi. Sasa kama utaona kimya wiki hii yote hujatumiwa email yawezekana kuwa hauko shortlisted, niwatakie kila la heri kwa wale wote watakaofanikiwa...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

    Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang! Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa! Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
  6. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Kwenye Portal ya Wizara ya Afya hakuna kipengele cha maderava wakati kwenye Tangazo wameweka nafasi hizo

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuwasilisha tangazo lilitolewa na Wizara ya Afya Tanzania kuhusiana na hizi ajira 1650 zilizotangazwa wiki iliyopita, kuna thread nikiiweka inayosema kuwa Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu. Mapungufu yaliyopo kwenye tangazo walilolitoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  8. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Usimamizi "Manager" wa kiwanda kidogo

    Abraar Bricks Nyumba kwa wote. Katika kiwanda chetu cha uzalishaji vifaa vya ujenzi wa kisasa kwa kutumia saruji (precast) tunatafuta msimamizi "manager" wa kiwanda. Kiwanda kina uwezo wa kuwa na wafanyakazi wa uzalishaji 21 na wasio wazalishaji 3 kwa shift moja. Tunataraji kifikie uwezo wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Zanzibar kwenye Muungano

    Je, Wazanzibar wanaomba kupitia ajira portal hii au kuna ajira portal yao? Nimeona nafasi za TRA usaili ulifanyika DSM, Dodoma na Zanzibar. Hao waliofanya usaili Zanzibar walipatikanaje? Naomba muongozo
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kuna mwenye info zozote humu toka MDH kwa nafasi za Data Officer?

    Hawa jamaa walitufanyia usaili wa oral kwa nafasi ya Data Officer hapa Dar na walituhaidi kwamba ukiwa successful basi utapokea simu toka kwao baada ya wiki mbili Sasa yapata mwezi na kitu hakuna cha simu wala text, kibaya zaidi hata ukimuuliza mwenzako na mwenzako nae akamuuliza mwenzake...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana ataja ugumu vijana kupenya uongozi, ataka wapewe nafasi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Amesema makundi hayo mawili yanapojitokeza kugombea yapewe nafasi huku akieleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa mambo ya Neutrality hayana nafasi, hata Mahakama ina upande wa haki, Tanzania tubadilike

    Bado naendelea kusisitiza alichofanya Urusi kwa majirani zake ni kosa na anapaswa awajibishwe na kila mmoja kwa namna yake. Sisi kama Taifa hatupaswi kukaa kishambaa na kuwaangalia tu hawa warusi. Nyerere aliwahi kuwasema Mara kibao tu walipojaribu kuwavamia majirani zao, aliwasema waizrael...
  13. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Ukipewa nafasi ya kuongeza Sheria moja kwenye soka ungeongeza ipi?

    Habari wanamichezo, Ikatokewa umepewa nafasi ya kuongeza Sheria moja mpya kwenye mpira wa miguu ungeongeza ipi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Jambo kuu nililojifunza kutoka kwa awamu ya tano. Vijana waliprove wrong kweye nafasi kubwa za uongozi

    Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi 38 za ajira Tume ya Utumishi Wa Mahakama

    38 Jobs at Judicial Service Commission/ Tume Ya Utumishi Wa Mahakama March, 2022 The Judicial Service Commission is a body created in accordance with paragraph 112 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania for the year 1977. In addition, Judicial Administration Act No. 4/2011...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM! Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu. Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi TPA

    Chekini mkeka huo.
  19. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wale wachache wanaotaka nchi isitawalike kwasababu ya kukosa madaraka hatutawapa nafasi

    ..Dah!! ..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
  20. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli. Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama...
Back
Top Bottom