Nafasi waliyopoteza wamama wabunge 19 katika siasa zetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,266
Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni.

Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani.

Wangeutumia muda ule kujiimarisha kisiasa na kielimu na kuielezea dunia athari za Uchaguzi wa 2020 ili makosa yale yasijirudie. Lakini waliamua kuwa waumini wa maslahi yao binafsi.
 
Kosa kubwa tunalofanya Bongo ni kuwaamini wanasiasa na kutegemea wawe na integrity. Ndio maana tutachelewa sana, pengine hata tusifike kabisa.
Tuna woga sana na wengi wetu wanaishia kusema tafuta chakula cha wanao mengine waachie wenyewe. Hii ni kwasababu katiba inapindishwa na wananchi hawaelewi dhamana waliyonayo katika Taifa lao.
 
Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni.

Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani.

Wangeutumia muda ule kujiimarisha kisiasa na kielimu na kuielezea dunia athari za Uchaguzi wa 2020 ili makosa yale yasijirudie. Lakini waliamua kuwa waumini wa maslahi yao binafsi.
Wadada waliwekeza kwenye uchaguz ili wapate uheshimiwa wakaangukia pua.

Ikapatikana nafas ya kupoza machungu kutokana na pesa yao waliyoichoma wakaambiwa wao ni makamanda wanapaswa kuvumilia zile nafas wataenda wadada wengine.

Kwa mazingira hayo binafs naamin kuna uhalisia mwingi hatujaambiwa na pande zote zinazohusika na kadhia ya hawa wadada.
 
Nina mashaka na haya uliyo yaandika, Halima alikua na jina kubwa sana Chadema na maamuzi aliyochukua yalikua ni ya kibinafsi zaidi.
 
Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni.

Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani.

Wangeutumia muda ule kujiimarisha kisiasa na kielimu na kuielezea dunia athari za Uchaguzi wa 2020 ili makosa yale yasijirudie. Lakini waliamua kuwa waumini wa maslahi yao binafsi.
nifikishie salaam zangu kwa uongozi. hao watu wafunguliwe kesi ya fojari na fraud na uhujumu uchumi juu
wakiachwa hivihivi itakuwa siyo fair
 
Kabisa kabisa wangejijenga sana kisiasa kuliko walichokifanya. Tamaa pia imewamaliza
 
Siasa ni maisha....

Na maisha ni fumbo...kwa wenye kutafakari mbali na kuona kwa mioyo nje ya hizi "kuta" za dunia tuliyoko basi huwa na haya yafuatayo:

1)Patience
2)Persistence
3) Perseverance

#Siempre JMT🙏
 
Mnapata wapi nguvu ya kuamini kuwa wale “wahuni” 19 walishinikizwa kufanya kile walichokifanya?? 😂😂 eti na mtutu wa bunduki, nyieeee 😅😅 wale ni wahuni wafia matumbo yao.
 
Halima Mdee : Wameamua kutufukuza KIHUNI ,Mbowe anajua huo UHUNI

Mh.Mbowe : Waache UHUNI 🤣

#Siempre JMT🙏
 
Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni.

Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani.

Wangeutumia muda ule kujiimarisha kisiasa na kielimu na kuielezea dunia athari za Uchaguzi wa 2020 ili makosa yale yasijirudie. Lakini waliamua kuwa waumini wa maslahi yao binafsi.
Hapo ndio ninapokupendeaga@Sky Eclat ,wale ni wanawake wenzako kwa jicho la tatu umeona makosa waliyoyafanya,angekuwa mwanamke mwingine angekuja hapa na nyuzi za kuwatetea,hongera kwa kuliona hilo
 
Walipaswa kutusaidia kuainisha makosa yaliyotendeka katika uchaguzi wao walilifanya kosa kuwa fursa.
 
Back
Top Bottom