nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Kwa Afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 5 kwa kubeti Afrika, nafasi ya 3 kwa unywaji pombe

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
  2. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Tanzania nafasi ya kuanza mchakato wa mageuzi

    Bunge la Seneti la Marekani limefanya mabadiliko katika Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya Marekani na Tanzania kwa kulegeza masharti kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Tanzania katika mageuzi ya mifumo ya uchaguzi na utawala. Katika rasimu ya awali ya muswada huo, Tanzania...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi

    Habari wadau, Natafuta nafasi ya kazi ya ustawi wa jamii (SOCIAL WORK) hata kazi zingine tofauti na taaluma yangu ZINAZOFAA. Nina elimu ya chuo (kaliua institute of community development) Pia nina ujuzi katika matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, care giver. Kwa mwenye nafasi au taarifa...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open...
  6. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana nafasi ya kuwa tajiri

    Nimeona jamaa anatuandikia nyuzi ndefu lakini ukiangalia hamna point hata moja nilitegemea nyuzi zake ziwe zinatoa suluhisho kwa kijana na mtu yoyote anayetaka kufanikiwa Niliitegemea awaambie hivi. 1.Mtumishi wa serikali/Private usiache kazi ila fanya saving ili baadaye ufungue duka, miamala...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Usiache kuomba na kama una changamoto tuwasiliane unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open kulingana na utaalamu wangu ingawa sioni sababu ya kuweka public...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Tanzania katika Migogoro unaoendelea Mashariki ya Kati?

    Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu. Migogoro ya kihistoria hususani inahusisha ardhi ya israel-Palestina imeendelea kuwa nadharia kuu ya Kutoweka kwa Amani katika...
  9. monotheist

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi zilizotoka mwezi wa nne

    JE kuna yeyote aliyeitwa kwenye interview ya security guard (officer) GSM au GEITA GOLD MINE? Tangazo la kazi lilitoka mwezi wa nne mwaka huu
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Lucy Mayenga ni ushahidi wa nafasi za Ubunge kwa namna isiyo sahihi

    Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana. Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi(madereva 4)

    Ciwaye Trading Co. Ltd inatangazia umma wanatoa nafasi kazi 4 za madereva wa malori ya mizigo Sifa 1. Awe na vyeti vyote vya mafunzo na leseni halali 2. Awe hajashiriki kosa lolote la kijinai 3. Awe hana tabia za ulevi muda wa kazi 4. Awe na tabia ya kufanya kazi kwa kutunza muda 5. Awe...
  12. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa singo mama

    Anahitajika Single Mama Madam wa chekechea awe na mtoto wake umri mwaka 1 au 2 au 3 Atakabidhiwa kusimamia shule na kupewa sehemu ya kukaa yeye na Mtoto wake Atalipwa salary kwa makubaliano na Boss Kipindi hichi cha likizo atapewa huduma za Tuition bure hela zake Shule zikifunguliwa ataanza...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda Joseph Selasini akawa mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwasababu hakuna wa kumzuia wala kumtatiza kuikwaa nafasi hiyo iliyowazi kwasasa.

    Ni suala la muda tu kuanzia sasa, kwa hilo kutokea kulingana na uelekeo wa siasa za Tanzania na ombwe la uongozi linaloonekana wazi hasa ndani ya Chadema taifa. Joseph Selasini anaingia Chadema kama moja miongoni mwa viongozi nguli na waandamizi wa chama hicho cha siasa, wanaokwenda kujitoa...
  14. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  15. neggirl

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

  16. Kelela

    JamiiForums Tanzania Toyota Vitz Vs Toyota Starlet-Ipi ina Nafasi Kubwa

    1. Ipi ina nafasi kubwa? 2. Ipi imara kwa masafa marefu yaani kupiga ruti hata za mkoani mara moja moja
  17. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: David Kafulila aifikisha Tanzania nafasi ya 9 Duniani kwa PPP.

    Hongera Rais Samia, Hongera Kafulila Hongera team PPP Centre
  18. Hornet

    JamiiForums Tanzania Wapenda Kunukia .. nipen nafasi niwasanue vitu vizuri

    Najua huku kuna watu wengi, wanapenda kunukia vizuri.. Sasa hapa tutofautishe brand names na manukato mazuri ya bei ya kiTanzania.. Kama unataka brand kubwa kubwa wewe inbox unapata mzigo wako saafi kamili.. Lakini wale ndugu zangu mnaopenda uturi kama mimi Njpe jina nikupe bei.. nauza Namba...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi zile nafasi za JWTZ watu washaanza kuitwa ??

    Wakuu naomba kujua kama tayari watu washaitwa zile kazi za zilizotangazwa april 14, 2026 ? Maana naona tik tok vijana wanapongezana kana kwamba washaanza kuitwa au sisi wengine tuendelee kusubiri tukihitajika tutapigiwa simu kama tulivyoambiwa?
  20. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Edwin Sifuna: Haiwezekani tumpatie Ruto nafasi arudi kwenye hiyo kiti

    Speaking during the funeral of Ann Nyatoro Ndung’u, the mother of the East African Legislative Assembly (EALA) Member of Parliament, Nairobi Senator Edwin Sifuna and the Linda Mwananchi lead, delivered a direct message concerning President Ruto ahead of 2027 poll "There is no other formula...
Back
Top Bottom