Nafasi ya kazi kwa singo mama

Nafasi ya kazi kwa singo mama

Kubwa la Maadui

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,020
Reaction score
15,873
Anahitajika Single Mama Madam wa chekechea awe na mtoto wake umri mwaka 1 au 2 au 3

Atakabidhiwa kusimamia shule na kupewa sehemu ya kukaa yeye na Mtoto wake

Atalipwa salary kwa makubaliano na Boss

Kipindi hichi cha likizo atapewa huduma za Tuition bure hela zake

Shule zikifunguliwa ataanza kazi rasmi ya mkataba mwezi wa 7

Awe anajua kufundisha babyclass,middle class,pre unit awe na vyeti vyake vyote

Shule ipo Kibaha Maili Moja Sheli

Mawasiliano 0664 680693 au 0699 829710 ni no
 
Tangazo ni genuine
 

Attachments

  • Screenshot_2026-05-24_204740~2.jpg
    Screenshot_2026-05-24_204740~2.jpg
    149.9 KB · Views: 7
  • Screenshot_2026-05-24_204757~2.jpg
    Screenshot_2026-05-24_204757~2.jpg
    144 KB · Views: 7
Back
Top Bottom