Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote.
Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
Habari wakuu,
Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja.
Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora.
Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure.
Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap...
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa hoja hizi ukoje ikiwa kati ya watu 10 maskini, 7 ni wanawake?
Nchini Marekani mwigizaji maarufu wa filamu ya Ant Man and the Wasp, Evangeline Lilly(pichani), amefunguka kuhusu hali ya sintofahamu inayoendelea studios kubwa za filamu kupunguza wafanya kazi na nafasi zao kuchukuliwa na AI.
Inadaiwa kuwa Disney sasa imeanza kutumia teknolojia ya AI kuchukua...
Job Advertisement
A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas:
1. Chemistry and Biology
2. ICS/Physics/Mathematics
3. English and Chinese
Qualified persons to submit their application letter and CV to 0717 905 715...
Anahitajika muhasibu kufanya kazi kwenye kampuni ya clearing and fowarding pamoja na usafirishaji. Mwenye sifa atume CV na vyeti kwenye email hii; info@endabashfreighters.com
Macho yote leo yako Manchester United na Liverpool watakapokutana katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo wa English Premier League.
Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila timu ikihitaji pointi muhimu ili kujihakikishia nafasi ya tatu na kushiriki mashindano ya Ulaya...
Sawa nina njaa kali.
Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity.
Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake.
Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
Kadri mabadiliko ya teknolojia yanavyozidi kushika kasi, ndivyo yanavyozidi kuleta athari chanya au hasi katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu.
Katika uwanja wa software development, mabadiliko haya yamejidhihirisha wazi wazi, hasa kupitia ujio wa Artificial Intelligence (AI) na ndio...
We are seeking a motivated, experienced Loan officer/ Credit officer to join our growing company. In this position, you will evaluate and approve or deny loan applications. You will act as liaison between financial institutions, individuals, and businesses applying for loans as well as process...
TANGAZO
Wanahitajika 5 Security Guards:
Wanaume 3
Wanawake 2
Eneo la Kazi - Kiwanda Kipo Temeke Dar
Sifa:
Awe na uzoefu wa kazi ya ulinzi usiopungua miaka 2 na kuendelea
Aliyepitia JKT atapewa kipaumbele (added advantage)
Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
Waombaji watume CV zao...
Emmanuela Mtatifikolo, ameonesha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua na kurejesha fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Isimani.
Hatua hii inaakisi utayari wake wa kupeleka uzoefu wake mpana wa kiuongozi katika ngazi ya juu ya uwakilishi wa wananchi.
Akiwa ni...
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma.
Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali Serikalini naona wanafuata zaidi wanasema uwe umesomea Utawala (Public Administration), je sisi...
Anonymous (ca61)
Thread
ajira
ajira serikalini
mitaa
nafasi
serikali
serikali za mitaa
serikalini
usimamizi
usimamizi wa serikali
wahitimu
za ajira
Kazi ni kwenu
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetangaza rasmi nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya sekondari hadi elimu ya juu, hatua inayolenga kuongeza nguvu kazi na kuendeleza taaluma mbalimbali ndani ya jeshi.
Kwa mujibu wa tangazo hilo...
TAKUKURU imetangaza nafasi za kazi, nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na TAKUKURU zimegawanyika katika makundi mawili:
Kundi la kwanza, Muombaji awe na angalau elimu ya shahada ya kwanza iliyotolewa na chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika moja ya fani...
Umri ni miaka 14, Mtoto ana uwezo mzuri darasani wala sina shaka juu ya uwezo wake.
ana uwezo wa ziada wa kulisakata gozi (mpira)
Shule ya msingi alisoma mchanganyiko ya kutwa.
Katika likizo hii ya wanafunzi wa sekondari, nilipata wazo la kumpeleka mtoto kufanya interview katika shule ya...
Wakuu.
Katika kile kinachoonekana kama maandalizi ya mapema ya kurithishana madaraka, nchi ya Cameroon inajiandaa kuanzisha nafasi ya Makamu wa Rais kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miongo mitano.
Hatua hii inakuja huku kukiwa na maswali mengi juu ya hatma ya kisiasa ya nchi hiyo...
Natumaini kila mwenye sifa au ndugu mwenye sifa amfikishie taarifa. Nafasi 340+ ni nyingi sana. Probability ya kupata ni kubwa.
Ajira Portal afanye Application
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.