DERRICK MALIMA MBAKU
Member
- Dec 18, 2018
- 13
- 6
Ciwaye Trading Co. Ltd inatangazia umma wanatoa nafasi kazi 4 za madereva wa malori ya mizigo
Sifa
1. Awe na vyeti vyote vya mafunzo na leseni halali
2. Awe hajashiriki kosa lolote la kijinai
3. Awe hana tabia za ulevi muda wa kazi
4. Awe na tabia ya kufanya kazi kwa kutunza muda
5. Awe usimamizi mzuri wa gari husika na mizigo yote atakayopakia
Maombi ya kazi yatumwe katika mfumo wa PDF kwa whatsapp 0655633413
Anuani
Ciwaye Trading Co.ltd
Box 75789 Dar es salaam