nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

    Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
  3. Tembele

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Nafasi Ya Kazi - Kuuza Hardware

    Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli hakuna popote tunaenda wana Man Utd ila angalau kwa kikosi hiki tunaweza maliza nafasi ya tano au sita.

    1: Lammens 2: full back mpya atakaye nunuliwa january 3: full back mpya atakayenunuliwa january 4: Yoro 5: de ligt 6: Baleba 8: Mainoo 10: Bruno 7: Mbeumo 11: Cunha 9: Sesko
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania City leo anadundwa na United, hafu nafasi ya Kwanza ndio Hajikaa Tena hadi Msimu ujao!

    Yap. Man City mbele ya United leo hana cha kufanya. Anapigwa. Na hajikukaa Nafasi ya Kwanza Tena huu Msimu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 150 wa kitanzania kunufaika na fursa ya elimu ya juu Algeria

    WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi. Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi ya Kujitolea: Wahariri na Waandishi Wakuu wa Habari (Editorial Volunteers) - Global Primegates Limited

    .
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Malaika Jibril achukue nafasi ya Israel mtoa roho

    Kosakosa zimekuwa nyingi sana. Huyu Israel Doumbia atolewe nafasi yake ichukuliwe na Jibril Kalala Mayele. Tunataka goli la mapema.
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Usaili wa ajira za Tanzania: Je, Waombaji wanapewa nafasi ya kweli kushindana au ni geresha?

    Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa Hospitali ya Benjamin Mkapa na nikakutana na baadhi ya matukio ambayo, kwa mtazamo wangu, yanazua...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  12. Ponjoro namba moja

    JamiiForums Tanzania Kwanini, nauliza kwanini wahindi hawapewi nafasi kugombea Urais?

    Bana sikiliza. Nchi hii haina ubaguzi wa rangi, dini au ukabila! Ssa wana JF hebu kumpa mimi rejesho , kwa nini sisi wahindi hapana kumpa nafasi gombea urais nchi hii? Ze Ponjoro
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Marais ambao ndugu zao walishika nyadhifa za juu serikalini wakati wa utawala wao

  14. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumuhallaisha huyu dogo wao kwenye nafasi ya umakamu wa Rais

    Kuna jambo linafichwa ndio maana kuna nguvu kubwa sana inatumika kumpamba huyu dogo wao. Wanamjua mama yake ni Mzanzibar ila Kabudi alisema mama yake ni mchaga....🤣🤣 Hii nchi ina watu wapumbavu kwenye nafasi za muhimu sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Dini Katika Mgawanyo wa Madaraka

    https://youtu.be/Q_j7NyVC3YY?si=-X0zBb0EkA17D6K0
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

    Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe.. Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
  19. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Freeman Mbowe na Lazaro.NYALANDU kuchukua nafasi ya Umakamu wa Rais

    Za Ndani kabisa Freeman Mbowe na Lazaro.NYALANDU... ni miongoni mwa majina yanayotajwa kwenye kurithi nafasi iliyoachwa wazi..... TEETH wanamtaka mtu wao mwana mpotevu ( FAM) wakati CCM mtandao wanamtaka NYALANDU.... Shida ipo kwa Lameck hamtaki NYALANDU maana ni moja ya competitors wake kwenye...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA wanapambana kuiomba CCM wampe Tundu Lissu nafasi ya Umakamu ili waunde Serikali ya mseto

    Friends and Our Enemies, Ukistaajabu ya Nchimbi utayaona ya Chama Cha Maandamano, Kuna taarifa zinazagaa zagaa zikielezea kuwa John Heche na Genge lake linahaha kuwatafuta CCM ili wawashawishi wamtoe lupango Tundu Lisu ili waunde serikali ya mseto wao na CCM ili kushughulikia masuala ya nchi...
Back
Top Bottom