Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

Nafasi ya Kazi - Binti wa Kuuza Hardware

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,862
Reaction score
2,156
Nafasi ya kazi Hardware, tuma maombi yako kupitia whatsap. Deadline 30/9/2026
 
Attachments

  • Nafasi ya Kazi.png
    Nafasi ya Kazi.png
    1.7 MB · Views: 1
Kuna mdada mmoja alikuwa anauza duka linalofanana na hili, alipigwa chini ndani ya miezi mnne tu baada ya kuajiriwa. Kisa alikataa masharti ya ndugu wa tajiri aliyeachiwa jukumu la kusimamia biashara.
 
Wanawake kwenye issue za kutafuta kazi ni kasheshe aisee😢
Alitaka amugeuze hawala
Huyo jamaa ana utaratibu wa kupita na kila binti anayeajiriwa. Ukikataa kupita naye, ajira nayo inasitishwa ndani muda mfupi kwa kutengenezewa zengwe.

Ukikubali kupita naye, akikuchoka pia ajira inasitishwa (kumbuka huyo jamaa ni ndugu wa tajiri, na tajiri mwenyewe anamuamini na kumsikiliza sana ndugu yake). Mshahara kwa maelezo yake ulikuwa unakidhi mahitaji. Laki 3+ si haba kwa binti anayejitafuta.
 
Huyo jamaa ana utaratibu wa kupita na kila binti anayeajiriwa. Ukikataa kupita naye, ajira nayo inasitishwa ndani muda mfupi kwa kutengenezewa zengwe.

Kitombi si ajabu ana umeme
Ukikubali kupita naye, akikuchoka pia ajira inasitishwa (kumbuka huyo jamaa ni ndugu wa tajiri, na tajiri mwenyewe anamuamini na kumsikiliza sana ndugu yake). Mshahara kwa maelezo yake ulikuwa unakidhi mahitaji. Laki 3+ si haba kwa binti anayejitafuta.
Aiseee ni mharibifu na ndio anaaminiwa na bosi duh
 
Kanyaga twende tuko nje y muda. Piga kazi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom