mzizi mkavu


 1. Mgwebe

  Swali kuhusu viwanda

  Habari za muda huu,nimatumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya Lengo la thread hii nikutaka kufahamu kwamba inakuaje Viwanda vya Dawa ( Pharmaceutical industries ) hapa nchini kwetu unaambiwa havijaidhinishwa katika viwango vya Kimataifa lakini wakati huo huo vinakuwa vinakizi vigezo vya...
 2. Fetty jr

  Mild normochromic anaemia

  Habari zenu bandugu, naombeni kujuzwa juu ya mild normochromic anaemia ni ugonjwa? Au nin nn
 3. Fetty jr

  Mild normochromic anaemia

  Habari zenu wana jf naombeni kujuzwa juu ya maana ya mild normochromic anaemia ,sababu na tiba yake
 4. Francis3

  USHAURI MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 KUHUSU COMB NA KOZI MBALIMBALI AMBAZO ZINAWAFAA KULINGANGA NA MATOKEO WALIOYOPATA

  Habari zenu, Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019. Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo...
 5. Haule samira

  Msaada: Tatizo la kukosa hedhi

  Kwa anayejua tiba nyingine maana nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kukosa hedhi, nikaenda hospital nikaambiwa nipigie nyutrosound nikakutwa Sina tatizo dkt. Akaniambia itakuwa mayai yamezubaa akanipa dawa ya kupevusha mayai, dufasto na vitamin E nitumie ndani ya miezi 3,mwezi 1 wa kwanza...
Top