The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,393
- 1,453
Habari za muda huu,nimatumaini yangu kwamba wote ni wazima wa afya
Lengo la thread hii nikutaka kufahamu kwamba inakuaje Viwanda vya Dawa ( Pharmaceutical industries ) hapa nchini kwetu unaambiwa havijaidhinishwa katika viwango vya Kimataifa lakini wakati huo huo vinakuwa vinakizi vigezo vya kuzalisha dawa kwa Wananchi wa ndani(i.e Tanzania)
Je hii inaashiria kwamba kuna vitu muhimu katika ubora kamili wa Dawa husika vinakua havipo? au sababu hasa nini?...Mana katika swala linalogusa moja kwa moja afya ya mtu huwa nadhani halina kuangilia level ya nchi
Natanguliza kwanza shukrani za dhati kwa majibu yenu mazuri