Dkt Mzizi Mkavu wapi alipo jamani?

Mbona yupo humu humu!....

Sema anaonekana kimanyatu manyatu!... Kama kakakuona...ama bundi!

Maana ashaliza wengi sana Jfdoctor tangu kitambo..

Ila hela za utapeli Zina laana! Huwezi kutoboa ng'o!...

Utapata za kulewea tu... Na za kuwapelekea moto wale viumbe wanaojiuza riverside tu! 👇👇

Tangu 2010 namjua akiitwa MziziMkavu mpaka leo Bado anatumia Samsung S6!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20231211-205657.png
    Screenshot_20231211-205657.png
    21.6 KB · Views: 13
Mbona yupo humu humu!....

Sema anaonekana kimanyatu manyatu!... Kama kakakuona...ama bundi!

Maana ashaliza wengi sana Jfdoctor tangu kitambo..

Ila hela za utapeli Zina laana! Huwezi kutoboa ng'o!...

Utapata za kulewea tu... Na za kuwapelekea moto wale viumbe wanaojiuza riverside tu!

Tangu 2010 namjua akiitwa MziziMkavu mpaka leo Bado anatumia Samsung S6!!!
 
Mbona yupo humu humu!....

Sema anaonekana kimanyatu manyatu!... Kama kakakuona...ama bundi!

Maana ashaliza wengi sana Jfdoctor tangu kitambo..

Ila hela za utapeli Zina laana! Huwezi kutoboa ng'o!...

Utapata za kulewea tu... Na za kuwapelekea moto wale viumbe wanaojiuza riverside tu! 👇👇

Tangu 2010 namjua akiitwa MziziMkavu mpaka leo Bado anatumia Samsung S6!!!
🤣🤣🤣nimecheka sana aisee
 
Ooh huku sijaonammada zake tena
Mkuu Pdidy Habari zakupoteana? nipo lakini nilikuw anipo busy kufanya utafiti wa badhi ya kdawa za kutibu maradhi ya Ukimwi aka HIV, Homa ya ini aka Hepatitis B Virus , Maradhi ya Kisukari, aka Diabetes,Maradhi ya Saratani Cancer, Maradhi ya Kiharusi aka Stroke , Kuongeza Ukubwa wa UUme Na Maradhi ya Nguvu za giza aka uchawi sasa nipo poa kwa hayo maradhi yote ninaweza kuyatibu ukitaka Thread zangu nitafute kwa kubonyeza hapa. https://www.jamiiforums.com/forums/jamii-health-jukwaa-la-afya.61/mythreads
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom