Mild normochromic anaemia

Fetty jr

Member
Dec 17, 2018
21
45
Habari zenu bandugu, naombeni kujuzwa juu ya mild normochromic anaemia ni ugonjwa? Au nin nn
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
694
1,000
Ni tatizo la upungufu wa damu mkuu na hiyo mild ina maana damu imepungua kidogo kutoka kiwango cha kawaida

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,169
2,000
kuishia kusema "mild normochromic anaemia" bado haijakamilika, japo kwa hapo tu inamaana kuna upungufu mdogo wa damu(seli nyekundu za damu) ambao hauhusishi upungufu wa madini ya chuma (yaani kiasi cha haemoglobin kwenye seli nyekundu za damu kipo kawaida).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But HB ni 11 wakati week mbili zilizopita ilikua 13.1
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
694
1,000
But HB ni 11 wakati week mbili zilizopita ilikua 13.1
Inawezekana una majeraha labda tukuulize huna sehemu unavuja damu umeumia au labda???
Kama hujaumia inawezekana unavuja damu kwa ndani bila kujua au ni malaria
Ni vitu vingi mkuu rudi hospitali watakuelezea sababu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fetty jr

Member
Dec 17, 2018
21
45
Inawezekana una majeraha labda tukuulize huna sehemu unavuja damu umeumia au labda???
Kama hujaumia inawezekana unavuja damu kwa ndani bila kujua au ni malaria
Ni vitu vingi mkuu rudi hospitali watakuelezea sababu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Bleeding from pubic kama mwanamke ako period
 
Asclepius

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
694
1,000
Bleeding from pubic kama mwanamke ako period
Yeah inaweza kua sababu lakini ni lazima kuwe na tatizo kiafya bleeding ya kawaida haitoshi kupelekea upungufu wa damu.......

Me nadhani ni vema uende hospitali bleeding inayozidi sio dalili nzuri

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Fetty jr

Member
Dec 17, 2018
21
45
Less than a month pregnancy miscarried nkaenda Hosp wakanpga ultrasound wakaona imetoka ,wakasema hawawez kunipa sawa kwasab hakuna infection nkarud nyumban nimeblid cku zaid ya 25 nkakaa cku 5 tu nkaanza tena nkaenda hospital ikawa same thing wakasema huenda ni Normal period lakin ilikua bleeding ya siku Tisa wakat my normal menstruation huwa ni 3/4 days ikaja ikakata lakn ikawa inatoka discharge ya Brown sana kama inaenda black for almost four days baada ya siku zile Tisa nmekaa siku 21 nikaanza tena this time Leo day ya 5 ila ni excessive ndo maana nikarudi hospital nikapata vipimo 4 urinalysis,fbp ndo nikaona io mild chronomic anaemia na hcg quality n quantity ikawa ni11 pamoja na ultrasound ikaonesha right ovarian cyst Ddx dominant follicle nkarudisha majibu kwa specialist akanipa misoprostol co-amoxiclav na algic p nmetumia miso Jana nkaona damu imepungua ila znatoka maini- like things
 
teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
246
250
sababu za kutoka mimba ni nini???

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,359
2,000
Siku nyingine malizia shida zako huko huko hospitali,

Bahati nzuri ume-attend consultation kwa specialist angekuelewesha mwanzo mpaka mwisho,

Hicho kitu ulichokitaja hapo ni aina mojawapo ya anaemia,

Kuwa anaemic sio tu mpaka hb iwe ndugu kuna vitu vingi sana vinavyoangaliwa kwenye CBC ili kufikia conclusion ya anaemia fulani

Nakushauri tena next time uliza mambo yote wakati hujatoka hospitali.
 
Tunkamanin

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
938
1,000
Hiyo history inathibitisha reason ya kuwa na hiyo type ya anaemia. Umepoteza damu full stop....hg 11 kwa afrika sio issue itarudi normal cha kufanya dili na tatizo la msingi ambalo umeshalipeleka kwa specialist hii anaemia isikutie presha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom