mziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Muziki wa Rumba ni ngoma gani kalii na album kalii unaikubali kutoka kwa Fally Ipupa

    Album zake ni 1.Tokooos 2.Arsenal de Belles Melodies 3.Droit Chemin 4.Tokooos II 5.Power "Kosa Leka" 6.Control 7.Formule 7. Kwangu album kalii kutoka kwake ni control na ina vibao kama maria na flye ila album zilizo nikosha roho sana yaani kali sana ni Tokooos kuna...
  2. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa Tisa huu, hivi limeshatokea tamasha maridadi la mziki kama lile la 'Tigo Kiboko Yao la mwaka 2014 pale viwanja vya Leaders'

    Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii. Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni. Hili tamasha lilikuwa na malegendary wote wa mzingi wa bongo na walikuwa kwenye ubora wao. Na ninalikumbuka kama tamasha bora...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mziki wetu wa Tanzania unaelekea wapi?

    Yanayoendelea kwenye tasnia ya Musiki Tanzania naona wasanii wanaturudisha miaka 10+ iliyopita. Teams na ushabiki usio na tija unapewa kipaumbele sana balada ya kusongesha mziki kimatafa. Tunazipa nafasi battle za ndani, tena mbaya zaidi hadi kwa wasanii ambao walianza kuonesha kupiga hatua...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Upo wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa

    Nimekuwa nikifuatilia sana Mtangazaji wa TBC Taifa, Manju wa Muziki Masoud Masoud akielezea historia ya Muziki wa Tanzania, anauliza uu wapi Muziki wa Kitanzania kwenye Mizania ya Kimataifa, anasema Muziki wetu umepotea na ulibakia kwa Msondo na Sikinde na aoni wa kuundeleza... Nini kifanyika...
  5. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Amapiano ni mziki wa kitoto

    Hivi aina hii ya music maDJ nani kawadanganya kila mtu anaipenda? Mnadhan kila mtu anavutiwa na ujinga wa hizo viral za tiktok? Nipo sehemu moja hapa naandika kwa uchungu sana sababu DJ toka saa nne anapiga huu upuuzi tu, Malaya wanasimama juu ya meza yaani kero tupu. Sehemu yenyewe wanajiita...
  6. Surya

    JamiiForums Tanzania Naona BASATA wanajisahau sana, mziki wa Amapiano unaharibu vijana

    Kiukweli kwenye huu mziki kuna wasanii wanaleta usodoma na gomola kwenye taifa letu. Wanaimba maneno yasioeleweka kwenye kamusi yoyote, alafu vijana wetu wanakalili hayo. Unakuta mtu hadi anakwenda kulala, kabla ya kusinzia ana refresh na ushetani kwanza.. wa Chino wana man. hivi unaelewa...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baa za Dar hazijui kupiga kelele, MWANZA Kuna baa inapiga mziki unafika kata 5.

    Chini ya chuo Cha TIA Kuna chimbo linaitwa Green View linapiga live band usiku mzima. Mziki wake ukiwa kata ya Mahina, Mhandu, Mecco, Buzuruga na maeneo mengine ya karibu usiku mzima Ni mwendo wa live band mwanzo mwisho. Na wamiliki wanasema mziki wao wamefungulia asilimia 1 sijui hali itakuwaje...
  8. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania SINGELI ndio muziki wa Tanzania

    Japo hauna adabu ila ndio muziki pekee wenye asili ya Tanzania. Sio dansi, taarabu, amapiano, rnb, hip-hop Wala takeu zote hizo tunaiga tu.
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  10. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono baadhi ya harakati za serikali kuzuia muziki wa juu kupita kiasi unaopigwa na baadhi ya baa nchini

    Hello bosses and roses... Niwe mkweli tu, hata kwa wateja ukipeleka questionaire ya haya mambo ya kupiga mziki kwa sauti kubwa kupitiliza bar wengi (actually karibu 80%) watasema hio miziki izimwe tu. Sababu zangu naweka hapa chini. 1) UBOVU WA SOUND SYSTEM Sound system za bar nyingi ni za...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
  12. Thailand

    JamiiForums Tanzania Hata mimi ningekuwa Diamond Platinum nisingekubali kushiriki tuzo za mziki TMA

    Itoshe kusema Diamond Platinum ni Mkubwa sana kwenye mziki wa Afrika, tusimuchukulie poa tu kwa kuwa anatokea Tanzania. TMA mmejitaidi kuandaa tuzo zenu changamoto ipo kwenye namna ya kuaandaa Category ili kuweza kuleta msisimko na hamasa kwa wadau wote wa mziki. Mimi sipendi hizi timu za...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mziki wa kupata mchepuko?!

    Straight to the point. Bro wangu alizinguana na mke wake, home kwake akueleweki kabisa, alafu kukununua anaogopa magonjwa, akawa anatafuta mchepuko, kahustle sana, akanishtua mdogo wake . Ni mlink na University girls na watu nawajua, tukaanza mission tembelea bar na vijiwe vyote Dodoma...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania P Funk na Master J wapewe maua yao lakini nao walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi

    walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani ukigombana nao tu hata iwe sababu ya mademu unabaki ndio imeisha hio ama ukikaza basi ni options chache...
  15. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

    TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  17. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania DJ Khaled hafahamu lolote kuhusu muziki, siri imejulikana

    Siku zote usipojua nyota yako kali usitegemee kufanikiwa kama usipojiondoa kwa watu watakao tumia nyota yako kutembelea kwenye mafanikio yao. Wote tunamfahamu msanii T-Pain aliyetamba miaka ya nyuma na hakuna ngoma iliyofanya vibaya. Kutokana na umaarufu wake mpaka kuunda kundi la Nappy Boy...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  19. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Jamani aliyegundua mziki anastahili Tuzo hasa ule wa zilipendwa enzi zetu, sijajua huu wa Sasa kama unaladha Kama zilipendwa

    Jamaani enzi zile watu naona tuliinjoy Sana ukilinganisha na mziki wa kizazi kipya. Mfano Leo nilikuwa nimekaa sehemu nakuta DJ ameweka mziki wa bendi ya Sasa Kamanyola wakiwa na Maestro King kikki wimbo unaitwa tutoke wore duuu nimekumbuka mbali Sana nikiwa Kijiji cha mbwewe Handeni Tanga...
  20. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

    Za jioni ndugu zangu, kwema? Michael Jackson enzi za uhai wake alikuwa msanii maarufu na tajiri kuliko msanii yeyote hapa duniani. Lakini pamoja na hizo sifa mbili kubwa nilizozitaja, kwangu mimi naona kuwa jamaa alibebwa na nyota tu kama ilivyo kwa Diamond, ila kiuimbaji au utungaji jamaa...
Back
Top Bottom