Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,417
11,081
Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja.

Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏

Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye kimaarifa na kizuoni ni mseto pia yaani multidisciplinary in competencies.

Pale nilipopata fursa ya kufika sehemu za starehe hasa Bar kubwa kubwa mikoa na miji kadhaa nchini Tanzania, nimeona vituko vya ajabu, natumia pesa kwanzia Laki Hadi laki 3 kwanzia saa 2 na nusu ucku hadi saa6 ucku bila kusikia nyimbo kali za kuchezeka na kuhamasisha matumizi yangu na kuyapa tija.
Amapiano sifuri, Naija hits , Bongo banger hits zero.

Mimi natumia pesa wa kusikiliza nyimbo za bolingo nangai, Nyimbo za kizamani za bongo flavour ambazo hazina ladha ya kuchezeka, hazina common dancing style, hivi wanatuonaje?

Wanataka tufanye utopolo wa kuomba nyimbo? Kwa utumwa gani?

DJs hawajui promo za kupaisha sehemu zao za biashara?Wana nguvu kuliko managers,?

DJs jiongezeni sio nongwa nyimbo kujirudia na tumieni akili kama hamna job motivation na satisfaction haipo acheni kazi.

Siku hizi hakunaga wazee wa kishamba shamba kama zamani, huo ujinga wenu wa kusingizia aina za watu na umri wao sio mtu akija kiwanja au bar iliochangamka au bar maarufu kwa kizazi kipya mjue amefuata rafha za huko ndiomana hajaenda huko Mandingo kuinama. Hivi Kama ni hizo heshima mtu mwenye aibu ya heshima ataenda bar ambazo zina milupo?

DJs changamkeni, na acheni ufala wa kurudia nyimbo zilezile kila siku, Digital world iko free and simple, Dancehall music sio shaggy na biene man pekee, Kuna Latino dancing music Kali zinatoka weekly na daily zipo kwenye digital avenues, Dancehall music mpya zipo daily, Naija music kali zipo nyingi mno.

Wamiliki wa bar za kijanja, grocery za kijanja Kama mnavo weka nguvu nyingi kupamba hizo bar wekeni pia akili za kutengeneza customer base, hasa loyalty kwa customers, make every new customer atake kurudi na awe balozi wenu, Train your DJs on the magnitude proportions on how music can create repeat business and loyal customers.

Let's wake-up creativity, innovation and customer centred businesses, jiwekeni kiushindani msilalamike uchawi mara kafara pumbavu zenu tumieni akili.

Click with customers as if they were yours kids or guests to be entertained in some cases you would ask them for options, engagement, customer choices, retention triggers and so on.

Nawasilisha karibuni kwa kila aina ya maoni.

Wadiz
 
Back
Top Bottom