mziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu akisikia mziki anaoupenda anaucheza bila kujali eneo, je ni pepo?

    Huyu ni rafiki yangu tangia zamani na mpaka leo tupo karibu, tunafanya nae kazi shirika moja na ni moja ya marafiki zangu wachache ambao tumejuana muda mrefu. Sasa huyu rafiki yangu anapenda sana muziki kuucheza tangu sekondari, huko chuo ndio kabisa alikuwa mzee wa disco sana, na hata...
  2. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mziki uleule DJ tofauti: Wakenya watamani uongozi wa TZ baada ya Rais Mama Samia kufukuza Mkurugenzi

  3. X

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Fireboy na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika?

    Wakuu kwema? Poleni na majukumu. Hivi kati ya Fireboy Na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika na Nigeria kwa ujumla. Nani anaflow nzuri zaidi,Lyrics kali,hits n.k. Fireboy vs Joe Boy
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanafundisha muziki kwa Dodoma?

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma. Nashukuru
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Wakuu kwema? Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyama huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table. Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Back
Top Bottom