mziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McCollum

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku ambayo Bongofleva itatengewa category yake binafsi kwenye platform za mziki duniani?

    Salamu nazitia kapuni naenda moja kwa moja kwenye mada. Je, mziki wa Tanzania (BongoFleva) unaweza kutusua na kuwekewa category yake pekee kwenye platform kubwa za mziki kama Billboard Hot 100/200? Afrobeats ya west Afrika imefanikiwa kupenya,je, vipi kuhusu Bongofleva?
  2. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  3. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Waheshimiwa hawa waliutendea haki mziki wa dansi nchini

    Binafsi niseme tu hawa waheshimiwa Tx-Moshi, Mzee Gurumo, Mbwembwe, Mzee Mabera, Mahina, Momba na wengine ambao sikuwataja na bendi zao walifanya kazi kubwa kwani mziki wao bado unaishi kwa kuelimisha umma wa watanzania na kuburudisha. Walikuwa na umahili katika fani zao. Binafsi licha ya kuwa...
  4. Slowly

    JamiiForums Tanzania WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

    Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
  5. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania Mziki wa CHADEMA bado ni mzito sana kwa CCM

    Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania. Mwaka 2020 Magufuli na umwamba wake wote alipelekewa moto mkali sana na Tundu Lissu. Sasa kama Magufuli...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kupostiwa na MC bila ridhaa yako ukiwa unaburudika kwenye sherehe?

    Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
  7. Saad30

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwajili ya mashabiki wa Fid Q na muziki wa Hip Hop tu

    Habari wakuu, Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI. Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo. Song: Siri ya mtungi Fid Q ft Juma Nature Verse no: 1 Nilipotoka...
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Muziki wa dini, mziki namba mbili ni Hip Hop

    Hii tathmini nimeifanya kwa muda mrefu sana, takribani miaka 20 sasa. Nimejiridhisha kabisa baada ya miziki ya dini basi mziki unaofuata ni Hip Hop. Hip Hop ni jina lenye maana kubwa, pana na muhimu zaidi kama mtu utalifuatilia kiundani zaidi. Mfano Manju Kool Herc alisema, "Hip Hop ni kemia...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  10. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

    Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani. Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country. Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June...
  11. Man Rody

    JamiiForums Tanzania Figisu ndani ya mziki wa Bongo Fleva

    Habari za majukumu wakuu.. Moja kwa moja kwenye mada, haina ubishi kwamba tasnia ya mziki kwa sasa imeendelea sana wote tunashuhudia vijana wanavojituma kusukuma gurudumu la bongo fleva kusogea.. kufanya mziki ni ndoto ya mamilioni ya vijana (nikiwemo mimi) lakini kwa hali ilivo sasa uhalisia...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mziki huu hakyanani kuna Mtu atakufa Goli 15 kwa 0 tarehe 13 August, 2022

    1. Aishi Manuka 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Henock Inonga 5. Mohammed Outtara 6. Victor Agban 7. Okra Messi wa Ghana 8. Clatous Chama 9. Moses Phiri 10. Lobi Manzoki GENTAMYCINE 11. Pape Sakho Tutaheshimiana tu Msimu huu sawa?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nauza mziki wa gari full kabisa

    Habadi z majukumu, Nauza mziki wa gari full kabisa, busta Watts 1,3000 Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja) Equlaizer Vyote Kwa pamoja nauza 800,000 Unachukua na kufunga katika gari, ni mziki mkubwa saana unafaa hata katika coaster ama Escher na gari yoyote Mawasiliano...
  14. MimiNiMakini

    JamiiForums Tanzania Kati ya Muziki na Mpira wa Tanzania kipi kinafuatiliwa zaidi?

    Tukio la Harmonize kumvisha Pete ya Uchumba Kajala na Tukio la Yanga kusherekea Ubingwa wa Ligi kuu yameenda sambamba sana. Inadaiwa kwamba Tukio la Harmonize kumvisha pete Kajala limefunika Tukio la Yanga, maana yake ni kwamba Mtaani watu wanamjadili Harmonize na Kajala kuliko Ubingwa na...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

    Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika, na watafute kazi nyingine. Wale waliokuwa wanatishia kuingia barabarani, haitawezekana tena. Mbowe...
  16. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Tengeneza muziki mzito kwa kununua vifuatavyo

    Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga unga nikanunua vitu hivi. Car audio crossover and equalizer Car music booster Spika 2 za bass (...
  17. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Bar/pub na mziki mkubwa: Wenye bar tambua kuajiri mameneja na ma dj maskini wa kufikiri inawaharibia biashara

    Heshma kwa wadau rika zote. Nadhan tumeshakubaliana kuwa hasa tuishio mjini imeshakuwa tabia mbaya kurudi nyumban mapema sana baada ya mihangaiko. Isitoshe mipango hufanyika bar sio kufuatana majumban! Na hivi wenye wake wanakwepa visiran vya wenza ili zisitolewe saba mkupuo. Unakuta mke...
  18. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni mziki na outing za miaka hiyoo. Wazee wa zamani hii ni miaka ya 60s au 70s. 80s nilikuwa na ufahamu hazikuwepo hizi swagga.

    Ni habari picha
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

    Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
  20. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
Back
Top Bottom