Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 4,267
- 10,272
Siku zote usipojua nyota yako kali usitegemee kufanikiwa kama usipojiondoa kwa watu watakao tumia nyota yako kutembelea kwenye mafanikio yao.
Wote tunamfahamu msanii T-Pain aliyetamba miaka ya nyuma na hakuna ngoma iliyofanya vibaya. Kutokana na umaarufu wake mpaka kuunda kundi la Nappy Boy lililotowa wasanii kibao magwiji. T-pain ni producer wa mziki, mtunga mashairi mzuri ambazo kama:
Nyimbo hii imeandikwa na T-Pain na kutengenezwa pia, ndipo hapo dj khaled amekuwa akimtumia mpaka sasa na nyimbo zote zilizotamba zimeandaliwa na T-Pain.
Lakini hata siku moja DJ Khaled ajawai kuonesha kumnyanyua wala kumsifia ni kama kamgeuza msukule sababu anamaisha magumu baada ya kuanguka kipesa.

- Go Girl (Ciara song)
- Go Hard (DJ Khaled song)
- Good Life (Kanye West song)
- Baby Don't Go (Fabolous song)
- Bang Bang Pow Pow
- Better (Bow Wow song)
- Boom (Snoop Dogg song)
- Boom (T-Pain song)
- The Boss (Rick Ross song)
- Buy U a Drank (Shawty Snappin')
- Kiss Kiss (Chris Brown song)