mwonekano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    "Utekwaji nyara wakosoaji, si sera. Ni doa la aibu!" Mwonekano huu wa Tanzania ya leo ni kwa manufaa ya nani?

    Hii ni tahariri yenye kutuakisi tulipo: Mwonekano halisi wa Tanzania ya leo. Ukweli mchungu: "Mtanzania gani anaweza kuwa mnufaika wa Tanzania hii? "
  2. Mazingira bora upendezeshwa na mwonekano wa garden yako

    TENGENEZA GARDEN YAKO KWA GHARAMA NAFUU SANA. NAMBA : 0714 693107
  3. Pishi la tambi.. Ladha kibao.. Mwonekano tofauti tofauti

  4. Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

    Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
  5. Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  6. Je, wajua hili kuhusu mwonekano wa ngozi na sura yako

    Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru Ila kinyume na hayo utakuwa na mwonekano wa ajuza mwenye miaka 90
  7. Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

    Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles..... Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin. Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking...
  8. Wayaringi ya maji ndo mwonekano wa baadae kwenye nyumba, hotel nk

    Mpangilio wa vitu vyandani ndo mwonekano wa wayaringi iliyo fungungwa katika nyumba yako.kuna wateja wanapenda kubadirika kutokana na wameona nini Kwa rafiki yake wakati wayaringi yake hairuhusu kuonekana mwonekano anayetaka yeye pia napenda kuwashauri waweze kuchagua kitu kimja ambacho anaweza...
  9. SI KWELI Mawingu yenye Mwonekano wa umbo la Yesu yaonekana Angani nchini Kenya

    Wakuu, Nimekutana na Picha inayosambaa Mtandaoni imeniogopesha sana. Ni mawingu yenye mwonekano wa Yesu, ama kweli siku za mwisho zimefika.
  10. G

    Biden kapitisha Jumapili ya Pasaka iwe siku ya Mwonekano wa Watu waliobadili jinsia, Trump amlaani na kumtaka awaombe msamaha wakristo.

    Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia, Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo...
  11. Tetesi: iPhone 16 itafanana mwonekano wa Camera za Samsung S24

    Apple has just launched the iPhone 15, but the rumour mill is already churning for the iPhone 16. The series is expected to bring significant upgrades and improvements compared to its predecessors. Speculation suggests that there will be enhancements in camera performance, display, a more...
  12. Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

    Taswira ya Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyowekwa kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa kwa ajili ya kutambua mchango wake katika masuala ya ukombozi Barani Afrika tarehe 18 Februari, 2024. Ikumbukwe kuwa katika uzinduzi wa hifadhi ya Burigi...
  13. Naomba nieleweke hivi kuwa uzuri huwa unajiunda na kuleta mwonekano kutoka ndani yake

    Naomba nieleweke hii inaweza isieleweke Ila ndivyo ilivyo, hali yako ya uzuri huwa inajiumba taratibu kutokana ndani yako. Hivyo ikiwa unayoyapitia ndani yako yatakuwa magumu na yanakunyima furaha hadi kujichukia hivyo ule uzuri wako wa Asili utapotea. Hoja hii naithibitisha Kwa kutazama...
  14. B

    Kuna vijana wengi wa kiume in their late 20's wenye mwonekano smart, kazi nzuri, kipato, gari, lakini hawajaoa

    Hi, Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe. Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta...
  15. W

    Jinsi Mwonekano wako unaweza kuwa na athari chanya au hasi wakati wa Usaili wa kazi

    Unapokwenda kwenye Usaili wa Kazi, Mwonekano wako wa mwanzoni tu, unaweza kuwa na athari kubwa wakati wa mahojiano. Na hiyo ni kwasababu tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Waajiri hufanya maamuzi kuhusu ajira ndani ya sekunde 30 za kwanza wanapokutana na mwombaji kazi. Hata kama Usaili si...
  16. Kuwa mfupi au kuwa na mwonekano mbaya haimaniishi hautafanikiwa, endelea kujikubali na kujipa thamani

    Kuna jambo katika nchi yetu lipo mtu akijiona mfupi au kuwa mlemavu anaamini yeye safari yake ya MAISHA haitokuwa na MAFANIKIO hii sio Kweli ni upotovu. Katika MAISHA ili ufanikiwe unahitaji zaidi utimamu wa kiakili na kulivaa tumaini hata wakati Akili yako na Mwili vitakapokuwa havina Nguvu ya...
  17. Twitter kubadilishwa jina na mwonekano kuanzia leo, Itaitwa "X"

    Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'. Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
  18. Mamlaka badilisheni mwonekano wa mavazi ya wanajeshi wawe nadhifu kama hawa

    To be honest lijapo umakini, nidhamu na hata mwonekano Wanajeshi wa Rwanda wapo mbali sana! Mwanajeshi wa Rwanda mda wote awapo kazini ni mtu makini na mzingatifu na bila kusahau hupendeza kwa uniform safi kabisa! KAMWE HUWEZI KUKUTA UNIFORM ZA YULE ZIMEPAUKA AMA ZA HUYO ZIPO VILE. WOTE...
  19. Kumbuka kuujali Muonekano wako uongeze kujiamini

    Muonekano wako ndo kila kitu. Ndio unaamua watu wengine tukuchukuliaje. Ndio unaamua watu wakuheshimu haraka au la. Muonekano wa nje upo juu yako kabisa. Unaweza kuubadili muda wowote na ukaufanyia kazi. Wala usisingizie kitu. Unaweza kujiweka utakavyo. Hivyo usipuuze hilo ukabaki kujisemea...
  20. Mwonekano Mpya wa Mr. Blue Byser

    aka Bayser hana habari anakula upepo wa bahari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…