Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,699
Hi,
Humu jf na nairaland vijana wengi tunasema hatujaoa coz hatuna hela, tunajitafta tupate hela ndo tuoe.
Cha kushangaza kuna hii kitu nimeona haswa haswa sehemu ninayofanyia kazi, kijana wa kiume unakuta ana cheo, tena head wa department ya kampuni kubwa, kazi nzuri, wese la kuweka mafuta ya 150k kwa wiki, kwenye Subaru Forester yake, ila mke hana, hata wakija wadada wa field tokaa chuo kwenye kampuni, wanaume single bachelors hawajisumbui kuwatongoza, hawatongozi hata female coworkers, utakuta tena kijana anakwambia ana rafiki yake anafanya kazi tra, kipindi cha chuo huyo rafiki alitamani kuoa, baada ya kupata hela, mtu anaghairi kuoa, coz anadai hana mpango huo wa kuja kuoa.
All those guys naowasema ni seemingly decent and good guys, sijajua wana mapungufu gani, hela wanazo, wako smart, hawana sura mbaya wako in their late 20's ila mbona hawataki kuoa na hawana wake, hata kutongoza hawajisumbui..
Ni aina ya wanaume ambao wanawake wanaenda kuombewa kwa mwamposa ili wawapate.
Sijajua future ya ndoa itakuaje kwakweli, siamini kama hao wanaume hawataki mke, hakuna mwanaume mwenye hela asietaka a good wife by his side. DeepPond Zemanda mshamba_hachekwi dronedrake Extrovert mawazo yenu kwenye hili tafadhali