mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Ali Kiba alimaanisha nini alipoimba kwa kusema 'Ushamba mwisho kwa mtoto wa Kariakoo'?

    Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa maeneo ya kariakoo wanayopenda kutumia kuwa "USHAMBA MWISHO KWA MTOTO WA KARIAKOO" wana maana gani maana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Iran: Hatimae rais mpya apatikana

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Kiislamu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ni lini ulifikia ukomo wa ukuaji?

    Habari wana JF, Kuna vitu huwa tunaviona vya kawaida katika jamii lakin kumbe vinaathiri maisha ya baadhi ya watu. Nina mdogo wangu ana umri wa miaka 19 yeye amekuwa akiathiriwa na suala la ufupi. Yani kiufupi anapoteza pesa zake nyingi kutafuta dawa ya kuongeza urefu, mara leo kaagiza kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Wallace Karia mwisho wake umefika

    Kwa hao wagombea hapo, ni dhahiri sasa enzi za Karia zimeisha. Nawapa nafasi Ally Mayayi na Tarimba Abbasi
  6. JamiiForums Tanzania RC Hapi umepewa onyo la Mwisho, omba radhi kwa kutukana Wazee

    Sote tunakumbuka ulivyotukana Wazee wetu tena kwa kiburi majivuno ukifoka kama unawafokea watoto wadogo. Hilo halikuwahi kufanyika na kiongozi mwingine yeyote. Kitendo cha kuhamishiwa Mkoa kupelekwa Mara wakati 'mwenzako' anatumbuliwa unatakiwa kukitafakari na kuona ni onyo la mwisho, unatakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kutumia tovuti hizi ni lini, nini unakumbuka?

    Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano 👉Waptrick 👉Toxicwap 👉Redwap Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
  8. JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo wa mwisho wa Makonda?

    Wanangu jamvini hamjamboni? Nimesoma kanusho la TAKUKURU kwenye gazeti la the Citizen kuhusiana na kukamatwa kwa Daudi Bashite/Paul Makonda. Je hii inamaanisha nini? Je huu ni mwanzo wa mwisho wa mteule huyu wa mwendazake aliyeshindwa kuamini kuwa chenye mwanzo kina mwisho? Kwa habari zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Ufalme wa Hanscana kama Video Director umefikia mwisho- Amekuwa mwenye hofu sana sasa hivi

    Tasnia ya utengenezaji wa video za wasanii wa Bongo fleva imeanza kitambo sana. Kumekuwa na Directors wengi lakini mapinduzi ya video yamekuwa yakifanywa na Directors ili kuanzisha either trend mpya au Directors wenyewe kulazimika kukua baada ya wasanii kutaka video zenye ubora. Kuna wakati...
  10. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba hii inauzwa. Ipo Kiharaka kabla yakufika Chuo cha Jeshi Mbweni Mwisho

    Naomba kuwajulisha kuwa Nauza nyumba Ipo Kiharaka ukipita daraja la Bunju unapinda kulia ilipo kambi ya jeshi sasa kabla ya kufika Nyumba ipo hapo Serikali za mitaa. Ukubwa wa Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni Master, Seating Room Public toilet Store Nje ina fremu mbili kama unataka kufanya...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwa dua na laana hizi, Israel mwisho wake unakaribia

    Kuna Sheikh mmoja Mecca Saudi Arabia anaheshimika sana na ni mtu wa Mungu ana miaka 98. Hata ameshawahi kuja kwenye mashindano ya dunia ya Quran Tanzania na Magufuli kuhudhuria. Huyu Sheikh alitabiri miaka ya nyuma Waarabu watakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe na kutawanyika kama wakimbizi...
  12. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

    Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni...... 1. Kukurupuka kuanzisha Miradi 2. Kuwekeza zaidi Chato 3. Kukomoa Matajiri wakubwa 4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini 5. Kuharibu Mifumo ya Pesa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa-Chanika Mwisho, Zogoali 5.5m

    Sifa za kiwanja 20*20m Kina msingi wa kisasa Vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning na jiko Kinafikika kwa gari Umeme na maji vipo karibu Mazungumzo mengine yapo
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Wasichokijua WCB fanbase yao ni kuwa kwa sasa Harmonize ndio Star wa movie na wao wapo upande wa adui. Diamond kaamua kutumia silaha ake kabla ya muda

    Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie. Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha...
  15. JamiiForums Tanzania Kuchunguza simu ya mpenzi wangu mwisho ilikuwa 2017, siwezi na sirudii

    Nakumbuka nilikuwa sina sana iyo tabia kiivo na ilipelekea kila mmoja wetu kutokuwa na password katika Simu. Iyo siku shetani alipitia na ndio uhusiano wangu ulivunjika ambao nliuamini ntazeeka nao, Tulitoka kuzika sasa si unajua ukifiwa pole nyingi na unakuwa bize kuzijibu, Tukafika home...
  16. JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Habari wanaJF, Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako. Mfano: Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku Siku uianze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…