Kuna uhusiano gani kati ya kuwasili kwa aliens duniani na machafuko ya siku za mwisho

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,987
2,000
Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni confidential (yaani maudhui yaliyomo kwenye hiyo movie yalikuwa yamefanywa kama jambo la siri).

Katika hiyo movie kuna matukio ya watu kuvamiwa na vyombo na viumbe kutoka sayari za juu na kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Nikiihusianisha hii movie na maono yangu ya huko nyuma naona kuelekea mwisho wa dunia kuna viumbe kutoka sayari za juu watavamia duniani na ndo itakuwa mwanzo wa kuanza kwa machafuko na ghasia kila mahali ambazo zitakuwa nje ya uthibiti wa mifumo ya kawaida ya binadamu na inawezekana kabisa watashirikiana na waabudu shetani wa hapa duniani (illuminants and the likes).

Hii pia imenifanya kujua kwamba kuna mipango timilifu ambayo inaratibiwa na ibilisi na mawakala zake kuelekea mwisho wa dunia.

Nakaribisha wajuvi na wale wanaoangalia haya mambo kwa jicho la kiroho kwa ajili ya michango yenu.​
 
Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
818
1,000
Nimeishia kusoma hapo uliapoanza na "waabudu shetani"

Quora imeniharibu sana, now day sina taste kabisa na nyuzi nyingi humu Jamii Intelligence

Hakuna 'movie' iliyotengenezwa na 'serikali' ya marekani
Hakuna serikali inayotayarisha Movie

Matukio ya watu kutekwa au kutwaliwa na viumbe vya ajabu (Alien Abduction) ni visa tu ambavyo havina support yoyote ya kisayansi,ni pure invention
Zao la script writers wa Hollywood na Sci-fi movies

Ukitazama ukubwa wa ulimwengu huu tunaoweza kuutazama ( observable universe) na tofauti ya umbali kati ya sayari yetu na sayari yoyote inayoweza ku support evolution ya intelligence species wenye uwezo huo utagundua hakuna tumaini lolote la sisi kuja kukutana na kiumbe chochote kile nje ya sayari yetu

Alpha centaur nadhani, ni nyota inayofata baada ya jua
Ipo umbali wa miaka 4.5 ya mwanga kama sijakosea

Maana yake nini?, ili kuifikia tunahitaji chombo kinachosafiri kwa kasi kama ya mwanga na bado kitachukua zaidi ya miaka minne kufika , hio ni kwa nyota ya karibu tu

Nikukumbushe tu, mwanga ndani ya sekunde moja una uwezo wa kuizunguka dunia nzima...

Physics ime ondoa uwezekano wa kitu chochote kile kuzidi kasi ya mwanga

Ni sheria, inayofanya ulimwengu uwe hivi ulivyo

Plus, kitu chochote kinachofikia speed kubwa kiasi cha kukaribia hata 30% ya speed ya mwanga (Relativistic speed) mda unaanza ku 'behave tofauti'

Hio miaka minne na miezi kadhaa, inaweza kuwa mamilioni ya miaka kwa sisi tutakao baki
So mawasiliano kati yao na sisi hayatowezekana

Mwisho, Dunia imekuepo miaka mingi sana, sisi tu asili yetu ni zaidi ya mamilioni ya miaka iliyopita

Tutapita pia, halafu hakuna atakayetukumbuka,
Dunia haitokuja kuisha kizazi chetu, unless jambo baya litokee kama lilivyotokea kwa dinosaurs
 
Mkuu cheki hiyo movie halafu soma maneno ya kwenye utangulizi utaelewa nani wanahusika, sina tatizo na takwimu na udadvuzi wa
kitaalamu uliotoa, lakini katika maandiko ya biblia imeelezwa Mungu hatafanya au kuruhusu jambo litokee duniani bila kuwapa taarifa wateule wake. Sasa wafuasi wa upande wa giza wanapokuwa wanapanga mambo yao maovu huwa wanaamini hiyo ni siri kwao, kumbe wateule wa Mungu wameshaona maono ya hicho wanachopanga kufanya......
 
Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
4,312
2,000
Quora imeniharibu sana, now day sina taste kabisa na nyuzi nyingi humu Jamii Intelligence

Hakuna 'movie' iliyotengenezwa na 'serikali' ya marekani
Hakuna serikali inayotayarisha Movie
Sawa mkuu yaani hiyo Quora imekuharibu huko nyuma au kwa sasa?

Sikia Mkuu nikitengenezea filamu Bongo si ni Tanzania? au! Juu ardhi ya Tanzania, nguvu kazi na miundo mbinu ni watanzania, kodi nalipa sirikali ya Tanzania, nitakosolewa na watanzania, sasa shida ako wapi wee babu? acha complications za wanakijiji bana!

sirikali ni watu! ,na watu ndo hao, kuna wizara ya utamaduni kwa nchi husika, hapo mcheza filamu utafuata sheria, na utaratibu walo jiwekea, km ni Raia mzalendo una punguziwa, km ni mgeni kodi inakuwa juu!

kuna kitu kinaitwa ''common error'' una kijua? au common mistake ni somo liko kwa syrabus, km umeenda shule nzuri! ......Ok!! sasa mbona wewe umeandika ........'serikali' ya marekani!!! (tukimakinika kama wewe ulivo makinika yaani Mr perfectionist all de time! any where!) hakuna serikali kama hiyo ulo itaja Duniani!! sijakosea nasema hakuna. ukibisha lete ushahidi!

walio sema Nyani haoni kundule hawakukosea, ndo km hili lako!! hakuna serikali inatayarisha Movie?
Sasa tuelezee zile Film zilizokuwa zinazunguka nchi nzima za ukulima wa kisasa, Mr Jongo na familia yake, Uhuru kazi ya TANU, Nyerere na UNO mpaka sasa wizara husika zimehifadhi haki miliki, sasa zilitengenezwa na watu binafsi, au!
 
Umeandika upuuzi tu
 
KIKOJR_TZ

Member
May 1, 2020
74
125
Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni confidential (yaani maudhui yaliyomo kwenye hiyo movie yalikuwa yamefanywa kama jambo la siri).

Katika hiyo movie kuna matukio ya watu kuvamiwa na vyombo na viumbe kutoka sayari za juu na kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Nikiihusianisha hii movie na maono yangu ya huko nyuma naona kuelekea mwisho wa dunia kuna viumbe kutoka sayari za juu watavamia duniani na ndo itakuwa mwanzo wa kuanza kwa machafuko na ghasia kila mahali ambazo zitakuwa nje ya uthibiti wa mifumo ya kawaida ya binadamu na inawezekana kabisa watashirikiana na waabudu shetani wa hapa duniani (illuminants and the likes).

Hii pia imenifanya kujua kwamba kuna mipango timilifu ambayo inaratibiwa na ibilisi na mawakala zake kuelekea mwisho wa dunia.

Nakaribisha wajuvi na wale wanaoangalia haya mambo kwa jicho la kiroho kwa ajili ya michango yenu.​
Mimi mwenyewe juzi usiku ni kama nimemuona ALIEN kaja geto hapa ndotoni sema alikuwa amekaa tu kwenye ndoo, sijui ndiyo alikuwa anajifikiria kwamba aniteke au aniache?🙄🙄😌
 
KIKOJR_TZ

Member
May 1, 2020
74
125
Nimeishia kusoma hapo uliapoanza na "waabudu shetani"

Quora imeniharibu sana, now day sina taste kabisa na nyuzi nyingi humu Jamii Intelligence

Hakuna 'movie' iliyotengenezwa na 'serikali' ya marekani
Hakuna serikali inayotayarisha Movie

Matukio ya watu kutekwa au kutwaliwa na viumbe vya ajabu (Alien Abduction) ni visa tu ambavyo havina support yoyote ya kisayansi,ni pure invention
Zao la script writers wa Hollywood na Sci-fi movies

Ukitazama ukubwa wa ulimwengu huu tunaoweza kuutazama ( observable universe) na tofauti ya umbali kati ya sayari yetu na sayari yoyote inayoweza ku support evolution ya intelligence species wenye uwezo huo utagundua hakuna tumaini lolote la sisi kuja kukutana na kiumbe chochote kile nje ya sayari yetu

Alpha centaur nadhani, ni nyota inayofata baada ya jua
Ipo umbali wa miaka 4.5 ya mwanga kama sijakosea

Maana yake nini?, ili kuifikia tunahitaji chombo kinachosafiri kwa kasi kama ya mwanga na bado kitachukua zaidi ya miaka minne kufika , hio ni kwa nyota ya karibu tu

Nikukumbushe tu, mwanga ndani ya sekunde moja una uwezo wa kuizunguka dunia nzima...

Physics ime ondoa uwezekano wa kitu chochote kile kuzidi kasi ya mwanga

Ni sheria, inayofanya ulimwengu uwe hivi ulivyo

Plus, kitu chochote kinachofikia speed kubwa kiasi cha kukaribia hata 30% ya speed ya mwanga (Relativistic speed) mda unaanza ku 'behave tofauti'

Hio miaka minne na miezi kadhaa, inaweza kuwa mamilioni ya miaka kwa sisi tutakao baki
So mawasiliano kati yao na sisi hayatowezekana

Mwisho, Dunia imekuepo miaka mingi sana, sisi tu asili yetu ni zaidi ya mamilioni ya miaka iliyopita

Tutapita pia, halafu hakuna atakayetukumbuka,
Dunia haitokuja kuisha kizazi chetu, unless jambo baya litokee kama lilivyotokea kwa dinosaurs
Mkuu nakupata barabara kabisa nikiwa HORIZONTAL nasubiri chai ipate moto hapa!
 
Eng peter pan

JF-Expert Member
Sep 15, 2021
1,018
2,000
Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie inaonekana imetolewa na serikali ya marekani na katika maelezo yake ya awali inaonekana ni confidential (yaani maudhui yaliyomo kwenye hiyo movie yalikuwa yamefanywa kama jambo la siri).

Katika hiyo movie kuna matukio ya watu kuvamiwa na vyombo na viumbe kutoka sayari za juu na kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Nikiihusianisha hii movie na maono yangu ya huko nyuma naona kuelekea mwisho wa dunia kuna viumbe kutoka sayari za juu watavamia duniani na ndo itakuwa mwanzo wa kuanza kwa machafuko na ghasia kila mahali ambazo zitakuwa nje ya uthibiti wa mifumo ya kawaida ya binadamu na inawezekana kabisa watashirikiana na waabudu shetani wa hapa duniani (illuminants and the likes).

Hii pia imenifanya kujua kwamba kuna mipango timilifu ambayo inaratibiwa na ibilisi na mawakala zake kuelekea mwisho wa dunia.

Nakaribisha wajuvi na wale wanaoangalia haya mambo kwa jicho la kiroho kwa ajili ya michango yenu.​
Hakuna uhusiano wowote ni conspiracy theories tu
 
GeniSys101

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,147
2,000
Nimeishia kusoma hapo uliapoanza na "waabudu shetani"

Quora imeniharibu sana, now day sina taste kabisa na nyuzi nyingi humu Jamii Intelligence

Hakuna 'movie' iliyotengenezwa na 'serikali' ya marekani
Hakuna serikali inayotayarisha Movie

Matukio ya watu kutekwa au kutwaliwa na viumbe vya ajabu (Alien Abduction) ni visa tu ambavyo havina support yoyote ya kisayansi,ni pure invention
Zao la script writers wa Hollywood na Sci-fi movies

Ukitazama ukubwa wa ulimwengu huu tunaoweza kuutazama ( observable universe) na tofauti ya umbali kati ya sayari yetu na sayari yoyote inayoweza ku support evolution ya intelligence species wenye uwezo huo utagundua hakuna tumaini lolote la sisi kuja kukutana na kiumbe chochote kile nje ya sayari yetu

Alpha centaur nadhani, ni nyota inayofata baada ya jua
Ipo umbali wa miaka 4.5 ya mwanga kama sijakosea

Maana yake nini?, ili kuifikia tunahitaji chombo kinachosafiri kwa kasi kama ya mwanga na bado kitachukua zaidi ya miaka minne kufika , hio ni kwa nyota ya karibu tu

Nikukumbushe tu, mwanga ndani ya sekunde moja una uwezo wa kuizunguka dunia nzima...

Physics ime ondoa uwezekano wa kitu chochote kile kuzidi kasi ya mwanga

Ni sheria, inayofanya ulimwengu uwe hivi ulivyo

Plus, kitu chochote kinachofikia speed kubwa kiasi cha kukaribia hata 30% ya speed ya mwanga (Relativistic speed) mda unaanza ku 'behave tofauti'

Hio miaka minne na miezi kadhaa, inaweza kuwa mamilioni ya miaka kwa sisi tutakao baki
So mawasiliano kati yao na sisi hayatowezekana

Mwisho, Dunia imekuepo miaka mingi sana, sisi tu asili yetu ni zaidi ya mamilioni ya miaka iliyopita

Tutapita pia, halafu hakuna atakayetukumbuka,
Dunia haitokuja kuisha kizazi chetu, unless jambo baya litokee kama lilivyotokea kwa dinosaurs
Mkuu nakubaliana kwa kiasi kikubwa na uchambuzi wako isipokuwa tu hiyo sehemu ya safari kati ya sayari na sayari(interstellar travel). Ukweli ni kwamba mpaka hapa tulipo kuna vitu vingi sana hatujui kama species.. Hatuna uhakika bayana pasi na shaka kwamba sayari zilizopo ni hizi tunazozifahamu sasa pengine kuna sayari zaidi ya mia.. pia usafiri unaongelea wewe ni kwa mujibu wa technology iliyopo sasa huwezi jua miaka kumi ama ishirini baade wanadamu wakaweza kwenda sayari za mbali na kurudi kama tunavyoenda hapo morogoro tu.. lakini pia Cha mwisho kwa kuwa bado hatuna uhakika na idadi ya sayari zilizopo na kama tuko peke yetu it's a possibility kuwepo kwa viumbe wengine sayari za mbali ambao pengine ni wajinga ama werevu kuliko sisi... Anything is possible..
 
Yah, upo correct
Comment yangu haiondoi possibility ya kuwepo kwa sapient life somewhere ulimwenguni

Ila nimegusia possibility ya kuja ku make contact na wao
Ni almost zero, unless tu pin hope zetu kwenye Speculative concept kama Warp drive au Einsten-Rosen Bridge

Physics ina hold kuwa hakuna uwekano wa chochote chenye mass ku by pass speed ya mwanga

Pia hii ni maximum speed limit ya ulimwengu kulingana na mainstream science

Sasa hata kama kuna mamillion ya habitable planets zote zikiwa na Alien civilization more advanced hata kuliko sisi, still hizo sheria zita hold

You can't outsmart mother nature, hawawezi ku develop space technology itakayo exceed speed ya mwanga

Sasa ukitake into account umbali uliopo katika yetu na other earth like planets ndoto inaondoka

Ni mamillion na mamillion ya light years apart
 
KING KIGODA

JF-Expert Member
Dec 28, 2018
1,308
1,500
Nimeishia kusoma hapo uliapoanza na "waabudu shetani"

Quora imeniharibu sana, now day sina taste kabisa na nyuzi nyingi humu Jamii Intelligence

Hakuna 'movie' iliyotengenezwa na 'serikali' ya marekani
Hakuna serikali inayotayarisha Movie

Matukio ya watu kutekwa au kutwaliwa na viumbe vya ajabu (Alien Abduction) ni visa tu ambavyo havina support yoyote ya kisayansi,ni pure invention
Zao la script writers wa Hollywood na Sci-fi movies

Ukitazama ukubwa wa ulimwengu huu tunaoweza kuutazama ( observable universe) na tofauti ya umbali kati ya sayari yetu na sayari yoyote inayoweza ku support evolution ya intelligence species wenye uwezo huo utagundua hakuna tumaini lolote la sisi kuja kukutana na kiumbe chochote kile nje ya sayari yetu

Alpha centaur nadhani, ni nyota inayofata baada ya jua
Ipo umbali wa miaka 4.5 ya mwanga kama sijakosea

Maana yake nini?, ili kuifikia tunahitaji chombo kinachosafiri kwa kasi kama ya mwanga na bado kitachukua zaidi ya miaka minne kufika , hio ni kwa nyota ya karibu tu

Nikukumbushe tu, mwanga ndani ya sekunde moja una uwezo wa kuizunguka dunia nzima...

Physics ime ondoa uwezekano wa kitu chochote kile kuzidi kasi ya mwanga

Ni sheria, inayofanya ulimwengu uwe hivi ulivyo

Plus, kitu chochote kinachofikia speed kubwa kiasi cha kukaribia hata 30% ya speed ya mwanga (Relativistic speed) mda unaanza ku 'behave tofauti'

Hio miaka minne na miezi kadhaa, inaweza kuwa mamilioni ya miaka kwa sisi tutakao baki
So mawasiliano kati yao na sisi hayatowezekana

Mwisho, Dunia imekuepo miaka mingi sana, sisi tu asili yetu ni zaidi ya mamilioni ya miaka iliyopita

Tutapita pia, halafu hakuna atakayetukumbuka,
Dunia haitokuja kuisha kizazi chetu, unless jambo baya litokee kama lilivyotokea kwa dinosaurs
Asante mkuu!.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
GeniSys101

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,147
2,000
Yah, upo correct
Comment yangu haiondoi possibility ya kuwepo kwa sapient life somewhere ulimwenguni

Ila nimegusia possibility ya kuja ku make contact na wao
Ni almost zero, unless tu pin hope zetu kwenye Speculative concept kama Warp drive au Einsten-Rosen Bridge

Physics ina hold kuwa hakuna uwekano wa chochote chenye mass ku by pass speed ya mwanga

Pia hii ni maximum speed limit ya ulimwengu kulingana na mainstream science

Sasa hata kama kuna mamillion ya habitable planets zote zikiwa na Alien civilization more advanced hata kuliko sisi, still hizo sheria zita hold

You can't outsmart mother nature, hawawezi ku develop space technology itakayo exceed speed ya mwanga

Sasa ukitake into account umbali uliopo katika yetu na other earth like planets ndoto inaondoka

Ni mamillion na mamillion ya light years apart
Nakubaliana nawe.. Hiyo ni physics laws kwa mujibu wa ufahamu wetu wa sasa… tunaweza kuja kuzipiga chini laws nyingi tu physics pakitokea gunduzi mpya.. Just imagine wana Science wa enzi ya Galileo.. Newton.. Scrodinger.. Tesla nk vitu walivyokuwa wanaviamini na uhalisia uliopo sasa.. So yes its possible laws zote za physcis tunazoziamini sasa zikawa debunked na tukatengeneza vyombo vinavyo defy laws zote za physics tunazozijua leo… kwa sasa rockets zinazokwenda Mars zinatoka hapa kwa spidi ya karibia kilometer elfu arobaini kwa saa… who knows ukaja uvumbuzi mwingine goma likawa linatembea kilometer laki tano kwa saa!
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,987
2,000
Hakuna uhusiano wowote ni conspiracy theories tu
Ukifanikiwa kuiona hiyo movie 'hornet' hao actors walikuwa wametengeneza robot ambayo walienda nayo milimani kwenye adventure zao, hiyo robot mwanzoni iliwalinda na attacks za aliens, baadaye ikaonekana kama aliens wame re-programe hilo robot na kulitumia against wale actors. The other thing waliokuwa wanafanya mashambulizi ni kama binadamu ambao walikuwa wanaonekana kama mazombi.
Ninachoweza kusema hapa, hao aliens watakapowasili duniani wataingiza roho chafu ya kufanya maasi kwa baadhi ya binadamu possibly ambao wapo inclined kwenye uasi au kutenda uovu au wana direct affiliation na devil kudhuru binadamu wenzao na kuleta hali ya taharuki kuu kila mahali duniani. Pia wataweza ku re-programme teknolojia mbalimbali zilizotengenezwa na wanadamu, mfano robots ili zitumike kufanya maasi waliyokusudia kuyafanya kwa wanadamu. Ukifuatilia kwenye maandiko ya biblia hasa kwenye kitabu cha Danieli na ufunuo wa Yohanna, hiki kipindi kinatajwa kama kipindi cha dhiki kuu (great tribulation). Ni kipindi kinachoashiria matukio ya mwisho wa ulimwengu ambapo ulimwengu utaingia katika hukumu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom