Nauona mwisho wa umaarufu wa Sunday Haji Manara

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.

Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.

1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.

Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.

Superbug
 
Mshkaji wangu mmoja hua tukiongelea mpira wa ulaya anajenga hoja vizuri tu ila akianza kuniambia kuhusu mpira wa hapa Tz unamuona anakua mbabaishaji na shwaini wa kutupa.
 
Lakini si alishasema mapema kuwa, yeye kwenda Yanga labda awe amekufa!?.

Tena akaenda mbali zaidi akadai hata apewe hela zote za benki kuu (ambazo naamini zinazidi huo mshahara wake wanaousifia) hawezi kwenda huko labda awe amekufa.

Kwahiyo jamaa ni "dead body" purely.

~Over my dead body.~
 
Kashaongea tena "hayo ni maneno tu"
(Kwani Barcelona anaweza kuifunga Simba niliwai kusema)🤣🤣🤣.
Yalikua maneno tu🤔
 
Maneno yanaumba asijitie ukichaa, kwani lini Simba mnyama amecheza na Barcelona ikashindwa kuifunga!?.

Yeye kuhamia Yanga tunaona anavyoipelekea moto wa kuzimu tangu avae jezi zao.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Huyo jamaa hamna kitu.ukimzidi point anakimbilia kusema umemtukania ulemavu wake.kikubwa sioni kama hata ana nguvu ya ushawishi kama ambavyo watu wanamchukulia
 
Alhamdulilah

img_1_1631637530523.jpg
 
Mna roho ngumu sana nyie watoto wa kiume kwa hiyo mnatamani kumuona haji yupo mjini ana randa randa, ana Tanga Tanga hana kazi ili mseme tulisema sie mnaumia haji kupata kazi ila hamtaki kumzungzia senzo ambaye nae 'ali kross boda
 
BUGATI anatembelea kivuli cha watani jadi kwahiyo umaarufu wa YANGA na SIMBA ndio umaarufu wa manara, Manara ni sawa na limao kwenye supu, Sio lazima ila ni muhimu
 
Yeye anategemea yanga ifanye vzuri ili aitukane Simba ndo apate umaaruf Sasa bahat mbaya yanga n mbovu hali inayo mfanya akose contents mwsho wa siku anapoa kama kiporo na hata yeye anakua haongelewi.
Mbinu nyngne anayo tumia n kumkashifu Mo lakin ule ukimya wa simba na viongozi juu yake unamfanya aumie sana maana yeye anategemea kujibiwa lakn hajibiwi mwsho anabak na mgogoro wa nafsi akienda uwanjan anachezea kichapo bas n aibu tupu anapata.
 
Kaishiwa hana jipya.maneno anayoongea sasa akiwa Yanga ndo hayo aliongea akiwa Simba.
Anasema Yanga anaongoza kwa makombe na Simba alishawai kusema kama hivyo.
 
Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.

Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.

1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.

Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.

Superbug
But anapata bunus na salary ya milion Tisa Kwa mwez

Pia views wake wameongezeka so anapata matangazo mengi ya kutangaza na anapiga ela ndefu
 
Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.

Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.

1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.

Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.

Superbug
Acha bangi, kwani Simba ilivyofungwa na Libolo ya Angola au ilivyosajili mchezaji anaitwa Serunkuma au Simba ilivyokuwa inakalia hamsa hamsa, Simba sifa umaarufu wake haukupungua?
 
Simba ni club kubwa Sana na yenye kila Aina ya ushawishi. Ukikosana na Simba tegemea nux na anguko vitakuandama.

Toka Bugatti kahamia yanga ni mikosi tu inamuandama yeye na timu.

1.Kufungwa kwenye Yanga Day.
2. Aliyewafunga Ana jina baya.
3.Tukio la mama J. (Kashfa)
4. Kufungwa na Rivers ya Nigeria.
5.Kufanyiwa fujo msemaji wa Rivers.
6. Kisasi kinachowasubiri Nigeria.

Kwa haya yote naliona anguko la Bugati.

Superbug
Arudi tu ccm maana hao ni dugu moja..akawe mwenezi
 
Back
Top Bottom