Diamond muombe msamaha mzee Abdul la sivyo huu ndo mwisho wako

Kungarochi

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
271
572
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.

jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.

Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.

Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
 
Acha unafki basi...kwaiyo Iyo imebuma? Naanzaje imebuma? Pepeta imebuma? Hyo BeT kua nominated tu nako kubuma? Zile cardlilac ,RR nazo ni kubuma? Mlisema jamaa kapotea tangu 2012..leo 2021...tafuta hela mkuu chuki ikutoke.. mwanaume unaanzaje Diss kidume mwenzio?
 
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kulitambua hilo vyote ulivotaja hapo vimebuma
 
Diamond alitabiliwa anguko tangu 2010, leo ni 202 1 still jamaa ni best Musician, richest, best label na most nominated and award winner of all time hapa east africa

Alafu kuwa to NOMINTED BET. ni ushindi kwa sababu wahasimu wake hawajulikani hata huko BET
 
Unafurahisha kweli ww jamaa
 
Tokea Diamond na mama yake wamuaibishe huyu mzee kwny media, mambo si mambo kwa Diamond.
jamaa kila anachofanya raia kama hawaoni kabisa katoa nyimbo tatu na zote zimebuma kama hajatoa kitu. BET akala mweleka vibaya mno. Alitangaza ujio wa raelity show na nyanya wake wa SA nayo imezimika kama mshumaa.
Hayo yote ni laana ya mzee Abdul, ulimuaibisha sana yule mzee naona Mungu anaanza kukukumbusha kuwa always sikio halizidi kichwa.
Usiposhtuka mapema kuomba msamaha kwa huyu mzee huu ndo utakuwa mwisho wako na ndo litakuwa angulo lako officially.
Hizi dua zilianza toka miaka 10 iliyopita lakini hazijafua dafu.
Mungu hafanyi kazi kama tunavyotaka binadamu
 
Back
Top Bottom