China kuanza kutumia Mwezi wake

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Nchi ya China imesema mpango wake wa kutumia mwezi wake binafsi (Chinese's moon) 🌕


Mpango wa China kuanza kutengeneza mwezi wake binafsi ushaanza na China inategemea mwezi huo utakamilika mwaka 2022.

Ifikapo mwaka 2022 china itaanza kutumia mwezi wake ambao utakuwa na mwanga mara 8 zaidi ya mwezi asilia iliyopo
Pia china lengo lao ni kutengeneza jumla miwili ili waje kutumia zaidi ya mwezi mmoja.

Tegemea technologia ya mwezi mpya katika Taifa la china kuanzia mwaka 2022.

FB_IMG_16253944751777424.jpg
 
Wataweza kuushikilia huko hewani? Dude lisijeangukia Bongoyo.
hahaahaa Bongoyo ya Oysterbay au kule kisiwani

Mkuu huo mwezi ukitaka angukia hapa bongo tutalitungua na drone Aina ya tunguli kutoka Gambosh area base!

😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom