mwezi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Imani yangu naamini kila mwezi kuna mtu kutoka Kundi la waloitwa WASIOJULIKANA anaaga Dunia

    Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine. Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
  2. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei za mafuta zimepanda zaidi mwezi Mei 2022?

    Taifa Digital Forum imefanya ufuatiliaji wa kina juu ya ongezeko la Bei ya Mafuta ya Nishati Nchini na kubaini kuwa katika kupindi cha Mwezi Machi 2022, bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia ilikuwa ni ya juu zaidi ikilinganishwa na bei za miaka 14 iliyopita. Hali hiyo imesababishwa na...
  3. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Kuna taarifa kuwa mwezi umeonekana Tandahimba jana tarehe 01/05/2022

    Wasalaam, Natumai mnaendelea salama wote, kuna taarifa inaenea sana kuwa mwezi umronekana jana maeneo ya Tandahimba na masheikh wa Bakwata, wakawapigia simu Bakwata makao makuu lakini wakazipuuza hizo taarifa na kuwatangazia raia kuwa mwezi haukuandama siku ya jana hivyo leo watu waendelee...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Ukiangalia huku uswahilini mama ntilie wanafurahia Sana mwezi wa ramadhani Mana watauza Sana kuliko miezi mingine. Sasa logically Ni kwamba mwezi wa ramadhani Ni mwezi wa kula mno/Sana na tunadanganywa kwamba ni kufunga. Ukiangalia hata waislamu wenyewe wanafurahia Sana wakati ki ukweli mateso...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwezi uandame Kenya halafu Tanzania usiandame?

    Bila jazba Wala povu, nauliza? Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri! Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama? Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje? Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo? Tatizo ni Nini! Ni...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mufti wa Tanzania : Mwezi haujaandama, sikuu Jumanne

    Mufti wa Tanzania,Abubakary Zuberi amewatangazia waumini wa dini ya Kiislam nchini Mwezi haujaandama, hivyo Waislam wakamilishe funga ya Mwezi mtukufu wa Ramadhani kesho Jumatatu, hivyo sikukuu itakuwa keshokutwa Jumanne tarehe 03/05/2022. Kwa hiyo kesho watu waendelee kupiga kazi.
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Je mwezi umeonekana huko uliko?

    Uzi huu ni kwaajili ya kupeana updates za muandamo wa mwezi, ili tujue kama kesho ni siku ya kibaruani au mapumziko? Tuachane na habari za Bakwata. Je, huko ulipo wewe mwana jf mwezangu mwezi umeandama?
  8. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema mwezi Machi na Aprili umeisha, mbona hamrudi nchini?

    Igweeeeee Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini...
  9. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuanza ziara ya siku 6 Canada mwezi ujao

    Duru zinatabanaisha huenda Rais akawa na ziara ya siku 6 mnamo mwezi ujao huko Canada. Pamoja na mambo mengine inaelezwa atakutana na wadau mbalimbali wa utalii ili kuimarisha sekta hiyo. Vilevile atakutana na wadau wa sekta ya madini. Nb: Asante mama kwa maandalizi ya safari.
  10. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hyundai na Renault zitaanza kuassemble magari yao Kenya mwezi ujao

    Hyundai dealer to assemble locally THURSDAY APRIL 28 2022 Caetano, the local franchise holder of Hyundai and Renault cars, plans to start assembling the vehicles in the country from May, being the recent dealer moving to tap tax incentives in the automotive sector. The company said it is in...
  11. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Mwezi umeandama, inawezekana leo ikawa EID?

    Leo mwezi UMEANDAMA na ilitakiwa kuwa EID. Naambatanisha picha
  12. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Freezer nzuri kwa watu wa biashara ina mwezi tu

    Ina mwezi mmoja Lita 250 Price : 700k Kinondoni DSM 0718909429
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kumbe nguvu hizi zaweza kuwa muhimu kupata kipato nikasema naanzisha kundi nalipisha 200 tu kwa Mwezi

    Nina documents kibao nina story za Siri kibao za wakubwa zihusuzo kuhujumu nchi! Unajua Kwamba ufaransa wajeshi kadhaa wana pesa zaidi Ya 43000€ ni watano Wajua Kwamba Tuna watu wanakula mshahara wa usaidizi wa mabalozi kila Mwezi 5000€ bila kujulikana popote? Wajua kuna wakuu wa vyama Vya...
  14. FAJES

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

    Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi? Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
  15. britanicca

    JamiiForums Tanzania Lema: Mshahara wa Mbunge ni Mdogo sana, 4000$ Kwa mwezi anazidiwa na vijana wanaofanya cryptocurrency

    Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema, katika Mazungumzo huko space twitter alisikika akikwambia Kitila Mkumbo kwamba mshahara wa mbunge ni Mdogo mno yaani ni 4000$ Kwa Mwezi hivyo aache Ubunge amfundishe cryptocurrency apate zaidi ya hiyo maana anazidiwa na vijana wanaoifanya...
  16. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Quran kufanyika sehemu nyingine tarehe 17 mwezi wa nne?

    Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa. Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup. Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Waislamu wenyeji na wageni nchini China wakaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Ramadhan: Zifahamu faida za kisayansi za kufunga kula chakula wasizozifahamu wafungaji

    Kuna Kwaresima na Ramadhan miezi ambayo waumini wa Kikristo na Kiislam wanafunga kama sehemu ya imani zao kwa lengo la kumpendeza Mungu wao ili awasamehe dhambi au awape kibali cha kuingia peponi. Kwenye upande huu wa dini sintakuongelea zaidi kwakuwa imani ya mtu ni package ambayo haiko wazi...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Bunge baadhi zatenguliwa kutokana na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi mwisho wa mfungo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, George Simbachawene amewasilisha hoja hiyo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mwezi wa 8 sasa hajawahi kupokea mshahara. Kwake wazambia kwanza: Kwetu si mishahara yao na posho tu zilizo nona haswa, bali sisi kukamuliwa kweli kweli. "Kwetu ni self service." Nani anasema tatizo letu si katiba? Si kuwa tuna watu madarakani ambao...
Back
Top Bottom