mwezi

  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya nafasi za kazi, Nursing Muhimbili/Moi Mwezi wa Saba/Nane yamenishangaza

    Baada ya dogo mmoja mwenye GPA ya 4.7 (Nursing & Midwifery)na Experience ya mwaka kuomba kazi zilizizotangazwa Muhimbili na nafasi nyingine MOI na kujibiwa kuwa amekosa Muhimbili kwa kuwa barua yake haikuwa na picha huku kwenye tangazo alilo soma hakuona hayo maelekezo ya kuweka picha, Pamoja...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao nataka nifunge adsl ya ttcl nipunguze gharama a internet, naombeni muongozo wenu wakuu..

    Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi. Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k. Nataka nipunguze gharama hio...
  3. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Sababu za bei elekezi ya mafuta kwa mwezi Septemba kuchelewa

    Mpaka leo bei elekezi ya mafuta mwezi Septemba haijatoka hizo zinaweza zikawa sababu Zoezi la kuongeza sifuri limekua gumu kwa sababu bei ya mafuta Duniani imeshuka sasa utaongezaje mafuta hapa kunawaweka Serikali katika wakati mgumu kwa sababu kupandisha bei ni kuwadanganya Watanzania...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya matengenezo ya Mfumo wa LUKU, huduma haitopatikana kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi Sept. 12-15

    Shirika la Umeme Tanzania limetangaza kufanya matengenezo hayo kwenye Kanzi Data ya Mfumo wa manunuzi ya Umeme (LUKU) ili kuongeza ufanisi. Matengenezo hayo yatachukua siku 4 kuanzia Jumatatu Septemba 12 hadi 15, 2022 na wateja wataweza kununua Umeme muda wote isipokuwa kuanzia saa 4 usiku...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ndoa 300 huvunjika Dar kwa mwezi

    Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya 300 zikivunjika kwa mwezi. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Stanslaus Nyongo, leo...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti

    Habari za leo wajuba, Tukiwa tunasubiri takwimu za sensa, kwa mara ya kwanza idadi ya Watanzania wanaotumia LinkedIn imefikia milioni moja mwezi Agosti. Sijui kwa nini this platform seems intimidating kwa Watanzania wengi. Maana mitandao mingine tupo wengi tu. Au point zetu ni zilezile...
  7. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuombeni Mungu, OPEC huenda wakasitisha uzalishaji wa mafuta mwezi huu

    Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake. Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni. Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wastara: Natarajia kufunga ndoa mwezi wa 11

    Mwanadada Wastara amethibitisha kuwa yuko kwenye hatua za mwisho mwisho za maandalizi ya harusi yake hapo mwezi wa 11. Kila la Heri.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee nchini China ili kukaribisha sikukuu ya mwezi

    Wafanyakazi wa kujitolea watengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu ya mwezi. Wafanyakazi wa kujitolea huko Qinhuangdao mkoani Hebei walitengeneza keki za mwezi pamoja na wakazi katika kituo cha huduma kwa wazee ili kukaribisha sikukuu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yaikatia gesi Ufaransa baada ya kushindwa kukamilisha kulipia gesi iliyotumia mwezi Julai

    Mwaka huu tutashuhudia mengi. Wakoloni wa Afrika wanazidi kuumbuliwa na Urusi kupitia nishati za Urusi. Hivi sasa Putin amekula sahani moja na Ufaransa kwa kumkatia gesi Macron baada ya Ufaransa kukosa pesa ya kulipia gesi iliyotumia mwezi July. Wakoloni hawa walizoea kupewa gesi ya dezo na...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tabata Shule laki mbili kwa mwezi

    Nyumba inapangishwa Tabata shule. Nyumba ipo ndani ya fensi ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko, choo cha ndani, maji ya bomba. Kodi laki mbili kwa mwezi Call me 0747744895 Mnakaribishwa.
  12. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nasa artemis 1: Kesho kuanza safari ya kuelekea katika mwezi

    ROCKET YA MWEZINI KURUSHWA SIKU YA KESHO 29 AUGUST Shirika la uchunguzi na tafiti zinazohusu anga za juu kwa ujumla NASA kufanya majaribio ya rocket itakayoweza kutumika katika safari za kuwapeleka wanaanga na vifaa mwezini katika masiku yajayo kwenye mission mbalimbali za kwenda kwenye gimba...
  13. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Kesi nzito Kenya maamuzi mwanzo mwezi ujao, hapa COVID 19 ni danadana

    kesi kubwaa sana ambayo kwa kweli sidhani kama kuna jaji wa tanzania mwenye level ya kuielewa achilia mbali kutolea maamuzi soon inaanza kunguruma hapo kenya maamuzi yake yanatarajiwa kutolewa mwezi ujao mwanzoni Ni kesi kubwa kila upande unavutia kwake, hawa wanasema kuna wizi wa kura leo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Internet ya uhakika na bei sawa na bure ni Adsl ya TTCL

    Usije ukadhani haya manguzo yenye nyaya zile nyembaba za ttcl zilizokuwa zinatumika zamani kwenye simu za mezani ni uchafu kwenye miji, nakujuza kwamba hizo nyaya ndizo zilikuwa zinasambaza internet miaka ile 2000 hadi 2010 enzi hizo ili upate internet inabidi uende internet cafe ambayo ilikuwa...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi July 2022 tu, Tanapa yakusanya mapato ya Bilioni 47 kutokana na Utalii

    Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya. Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kero: Wasafirishaji wa mizigo kupakilia mizigo kwenye makazi ya watu Kariakoo

    Msingi wa shida zote ni serikali za mitaa, na hizi karibu zote zilipita bila kupingwa, Sasa hapa Kariakoo misheni kota yaani utafikiri uko sijui kwenye viwanda vya kutengezea malori, yaani mitaa yote kuanzia Ndanda hadi Muheza, Narun'gombe, Magira, Masasi na Aggrey street hapajulikani ni jiji...
  18. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Septemba 2022 TANESCO itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja

    Mita janja kuanza kuunganishiwa wateja Septemba SERIKALI imesema kuanzia mwezi Septemba itaanza kuwaunganishia umeme wateja wapya kwa kutumia Mita Janja ili mkusaidia kununua umeme akiwa safarini bila kulazimika kuingiza kwenye mita yake. Waziri wa Nishati, Januari Makamba. Waziri wa Nishati...
  19. mike2k

    JamiiForums Tanzania NASA ARTEMIS: Project ya kumpeleka binadamu katika mwezi

    Artemis program ni programu ya anga za mbali ambayo inakwenda kufanyia uchunguzi mwezi 🌒. Program hii inaongozwa na NASA wakishirikiana kwa ukaribu kabisa na mashirika ya tafiti za anga kutoka nchi mbalimbali duniani Africa tukiwakilishwa na South Africa. Artemis program pia inazishirikisha...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Sisi tusio na ajira tuko radhi mtuajiri hata kwa laki moja kwa mwezi

    Nawashangaa Sana hii mifanyakazi ilivyo mibinafsi. Sisi wengine hawatufikirii kabisa inajifikilia yenyewe. Mama achana nao kwanza walipata prevelege ya kuajiriwa tu na siyo lazima tuko wengi tusio na ajira na tuko tayari hata kujitolea. Toa hiyo mifanyakazi inayotaka milion. Sisi hata laki...
Back
Top Bottom