Watoto 30,000 wakimbia makazi Msumbiji ndani ya mwezi mmoja

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Capture.JPG

Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022.

Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea Jimbo la Cabo Delgado.

Watu 53 wameuawa huku watu wazima na watoto jumla waliokimbia makazi yao wakiwa ni 50,000, takwimu zilizotolewa naShirika la Misaada la Save the Children.



Source: Africanews

----------------------

Mozambique: Jihadi violence sparks year-high number of children fleeing

A new wave of violence in Cabo Delgado, north-eastern Mozambique, has forced more than 30,000 children to flee in June. The Ngo Save the children said Friday, it was the highest number of children uprooted in a single month since jihadist insurgents destabilized the province in 2017.

More than 4,000 people have been killer according to the Armed Conflict Location & Event Data Project. Since July 2021, a 16-nation Southern African Development Community (SADC) mission (SAMIM) backs Mozambique in its fight against jihadists.

If the alliance has enabled military advances on the field, insecurity remains prevalent in the oil-rich province.

According to the UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs, children in Cabo Delgado are above the national average in most social negative indicators such as chronic malnutrition, school completion rate, illiteracy rate and access to basic social services.
 
Wewe mleta mada sijui ni kiingereza ndio hujui au na wewe uko sympathetic to those jihadist butchers, I just don't know.

Wapi wameandika kwamba hao wanapigana vita vya wenyewe kwa wenyewe [Civil War].!! Wakati inajulikana vizuri kwamba hao ni magaidi wa kiislamu wanapigana kutaka kueneza dini yao kama walivyofanya karne nyingi huko nyuma mashariki ya kati, kaskazini na magharibi mwa Afrika.
 
AU na SADC wako wapi au wanaisubiri US iingie waanze kupiga kelele zao
 
AU na SADC wako wapi au wanaisubiri US iingie waanze kupiga kelele zao
Wako wanahangaika na vita ya Ukraine 🇺🇦 na sisi wote tumekumbwa na Putin!,Africa bara la kushangaza sana,tunashabikia vita ya Ukraine wakati nasi tuna vita hapa mlangoni kwetu, na vita ya Ukraine ikiisha Africa itabidi tujifunze kujitegemea!,makali yake yataumiza wengi hapa Africa
 
Back
Top Bottom