Mwezi Aprili 2022 ilikuwa Dar, sasa Juni 2022 Padri wa White Fathers kukutwa amekufa kwenye mazingira ya kutatanisha Mbeya

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Jijini Dar es Salaam, mwezi wa nne mwaka huu Padri wa Shirika la White Fathers, Kanisa Katoliki, alitoweka na mwili wake kukutwa kwenye tank la maji akiwa hana uhai.

Padri huyo alikuwa ni Raia wa Zambia. Jijini Mbeya, mwezi huu Padri mwingine wa shirika hilo hilo kutokea Malawi alitoweka na siku ya pili kukutwa amekufa kwa kukatwa shingo na mwili wake kuviringishwa kwenye blanketi.

Maswali: 1. kwa nini vifo hivi vya kutatanisha vinatokea kwa Mapadri wa shirika la White Fathers? 2. Kwa nini kwa Mapadre wa White Fathers wa kutoka nje ya nchi?

Je, yaweza kuwa wao kwa wao? Parokiani kwetu tumeambiwa sasa kuna CCTV cameras, je ni kuongeza usalama juu ya matukio haya, je zitasaidia?

Je, wahusika waweza kuwa ni wa kutoka kwenye nchi zao kama inavyodhaniwa? Kama ni watu kutoka nje ya nchi, je nchi yetu ina ulinzi wa kutosha? Mpaka haya yote yanatokea, usalama wa Taifa wako wapi?

Vyanzo: Mwili wa padre waokotwa Mbeya
VIDEO-Polisi yachunguza chanzo cha mauaji Padre Mbeya

Kama wote waliouwawa ni wa shirika moja basi kuna kitu Kiko nyuma ya vifo vyao, tatizo la nchi yangu vyombo vinavyohusika kufanyia uchunguzi matukio kama haya havina uweledi kabisa wanategemea wamkamate mtu wamminye kende eti akiri kosa ndio ushahidi umepatikana, ujinga mtupu!!!
 
mkuu jeshi halina mamlaka hapo labda waalikwe tu.
 
Mkuu si kweli uhalifu wowote unaofanywa ndani ya mipaka ya Jamhuri ni jukumu la jeshi la polisi kushughulika nalo bila kujali utaifa wa mtu aliyefanyiwa uhalifu huo au uhalifu huo umefanyika msikitini au kanisani
 
Yule wa kwenye tank si inasemekana alikuwa ana mke wa mtu na alimjengea nyumba na gari.
Sidhani kama hiyo ni sababu inayojitosheleza.

Mapadre kibao wanatembea na wake za watu na hawajauawa. Kuna Mapadre wawili ni ndugu zangu wa damu;wamezaa na wake za watu na wanafunzi wa sekondari, na hakuna kwere.

Swali ni:kwanini wanaouawa ni wa Shirika moja tu (White Fathers) na ni Wageni (Foreigners)?
 
Basi itakuwa fitna maana roma migogoro yao kabla haijawa public lazima iwe imeshapatiwa ufumbuzi na ikitokea umetoa siri na wakakustukia ujue umekwishaa.
 
Kama wote waliouwawa ni wa shirika moja basi kuna kitu Kiko nyuma ya vifo vyao, tatizo la nchi yangu vyombo vinavyohusika kufanyia uchunguzi matukio kama haya havina uweledi kabisa wanategemea wamkamate mtu wamminye kende eti akiri kosa ndio ushahidi umepatikana, ujinga mtupu!!!
Wangewatumia waganga wa kienyeji wawape taarifa,hili la kuminya watu kende ni la kizamani pili ni kuwatia ulemavu wasio husika
 
Yule wa kwenye tank si inasemekana alikuwa ana mke wa mtu na alimjengea nyumba na gari.
JITAMBUE KWANZA. Watu wanajiuliza kwa nini ni mapadri wa shirika moja na kwa nini wote siyo watanzania. SASA UNAKUJA KIJAMBO MMOJA UNAKURUPUKA NA KUROPOKA ILI LABDA UONEKANE UNAJUA. Mjinga... Mpumbavu... SHWAIN.
 
Jijini Dar es Salaam, mwezi wa nne mwaka huu Padri wa Shirika la White Fathers, Kanisa Katoliki, alitoweka na mwili wake kukutwa kwenye tank la maji akiwa hana uhai.

Padri huyo alikuwa ni Raia wa Zambia. Jijini Mbeya, mwezi huu Padri mwingine wa shirika hilo hilo kutokea Malawi alitoweka na siku ya pili kukutwa amekufa kwa kukatwa shingo na mwili wake kuviringishwa kwenye blanketi.

Maswali: 1. kwa nini vifo hivi vya kutatanisha vinatokea kwa Mapadri wa shirika la White Fathers? 2. Kwa nini kwa Mapadre wa White Fathers wa kutoka nje ya nchi?

Je, yaweza kuwa wao kwa wao? Parokiani kwetu tumeambiwa sasa kuna CCTV cameras, je ni kuongeza usalama juu ya matukio haya, je zitasaidia?

Je, wahusika waweza kuwa ni wa kutoka kwenye nchi zao kama inavyodhaniwa? Kama ni watu kutoka nje ya nchi, je nchi yetu ina ulinzi wa kutosha? Mpaka haya yote yanatokea, usalama wa Taifa wako wapi?

Vyanzo: Mwili wa padre waokotwa Mbeya
VIDEO-Polisi yachunguza chanzo cha mauaji Padre Mbeya

Mapadri wana kazi kubwa kweli. Sasa hivi ni vema wakajitunza na kuwa makini na kujichanganya sana. Sijui dhamira au sababu ya vifo hivi, ila muda mwalimu mzuri. Yaliyojificha gizani, yatajulikana nuruni
 
Mbona ma-pastor wa Sabato hawa uawi??? Shetani anaogopa sabato au????........au shetani anaenda penye nguvu saaana za Mungu yamkini pia ni ili kupoteza wengi! waaminio!
 
Back
Top Bottom