Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,648
- 7,571
Shikamoni wote humu maana mi ndo last born wenu humu. Huu uzi alitakiwa auandike Binti wa zamani ila acha nijilipue;
"My racing white darling uzuri wako hauelezeki. Tangu umekuja kwenye maisha yangu unafanya kila siku inakuwa mpya. Kwa mahaba haya unayonipa unanifanya nijisikie nipo kwenye sayari ya mars. Nimeamini ule msemo wa wembamba wa reli ila treni inapita. Saivi hata rafiki zangu wananishangaa sana jinsi ulivyonibadilisha. Asante kwa kuwa sehemu ya maisha yangu. Uwepo wako hunifanya niwe na furaha na matumaini kila siku. Nakupenda sana❤️"
Seran
win-one Binti wa zamani To yeye yeye Mbaga Jr ShesRise_1
Chivundu Poor Brain