mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gustavo Gaviria

    Ulipata changamoto gani katika kumtambulisha mwenza katika familia yako?

    Wakuu tupo pamoja. Mimi hapa nina mwanamke mmoja bwana ana mtoto mmoja ila sio wangu nataka kumuoa, nimeridhia kabisa na nimempenda mwanamke licha ya kuwa na mtoto, ila kipengele kinakuja kwenye familia sidhani kama watanielewa! na hata kama watanielewa sidhani kama watatoa ushirikiano...
  2. fablo can

    Unaweza tumia njia gani kumwambia mwenza wako kuwa ananuka mdomo bila kumfanya ajisikie vibaya

    Habari za usiku huu wana JF.... Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Ndugu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tuelekezane namna ya kumwambia Mwenza wako eidha wa kike ama wa kiume ukukitana na janga kama hilo. UTAMWAMBIEJE Au UTAMSHAURIJE ILI ASIJISIKIE VIBAYA MTU...
  3. Miss Zomboko

    Maneno 10 mabaya ambayo hutakiwi kusema kwa mwenza wako

    Maneno ya Matusi Maneno kama “mjinga” au “mpumbavu” yasitumike kwa mwenza wako hata kama yana ukweli ndani yake. Japo ujinga ni kutofahamu kitu fulani lakini neno hili linaleta majeraha kama likitoka kwa mwenza. Hasa kama linatoka wakati wa ugomvi au kutofautiana. Useseme maneno mabaya...
Back
Top Bottom