KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo.

Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu?

Mamlaka husika naomba litende haki Kwa watumishi wanandoa.

Haitoshi, mtu unapata wa kubadilishana naye halafu waambiwa subiri miaka mitatu. Hii sio sawa.

Tunahitaji haki kwa ustawi wa familia zetu na kizazi bora cha baadae.
 
Kwa kuwa swala lenyewe liko kisheria. Mi naomba wahusika watende haki na wapunguze urasimu.
 
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo.

Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za binaadamu. Mnataka tuishije tunapokuwa mbali na ndoa zetu?

Mamlaka husika naomba litende haki Kwa watumishi wanandoa.

Haitoshi, mtu unapata wa kubadilishana naye halafu waambiwa subiri miaka mitatu. Hii sio sawa.

Tunahitaji haki kwa ustawi wa familia zetu na kizazi bora cha baadae

Na kwa hii hoja kinachovunja moyo siyo tuu hizo konz kona zao, ila kuna watu hata kuidhinishwa hawajaidhinishwa na tayari wamekamilisha uhamisho.
 
Back
Top Bottom