Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

Unaishije na mwenza mwenye tabia ngumu?

Japo hujasema ni tabia Gani hizo ngumu?
Kwenye social work Kuna theory inaitwa social learning theory (tupo tulivyo Sasa kutokana na waliotuzunguka utotoni/kwenye makuzi yetu)
Kila tabia ya binadamu Ina sababu
Je umechunguza sababu nn? Au utakimbilia tu kuomba Talaka na kurudi kwenu?
 
Mmekutana ukubwani with different background mnaoana,lazima kuwe na tofauti,

Life is very short,kama huwezi kuvumilia achana nae ila kumbuka kila binadamu ana mapungufu yake,hata wewe huenda kuna vitu unamkera ila ameamua kunyamaza tu.
 
9714E5C0-B1E3-4BB3-AFDE-88C2EB8780DB.jpeg
 
Back
Top Bottom