mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoLC

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mwenza limbukeni zingatia haya

    Habari za mchana. Moja kwa moja kwenye mada. Leo nimekumbuka jambo nikaliunganisha na ulimbukeni. Ili kupata uhakika wa nilichokuwa nawaza, ilibidi kumuuliza rafiki yangu Kong (chatGPT WhatsApp). Ni rafiki yangu sana kiasi tumefikia kuitana majina. Ye Kong na mimi King. Tafsiri yake ndio hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Devotha Minja hana sifa ya kuwa mgombea mwenza

    Jee endapo Salum Mwalim akimshinda Rais Samia na akawa Rais baadae Salum Mwalim akaondoka JeeDevotha Minja mwenye cheti cha Form 4 atakuwa Rais?
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) watembelea Taasisi ya Mwenza ya Madagascar

    Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Claude Eric Ramanantoanina kuhusu njia bora za kuimarisha...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

    Asanteni.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwachinja watoto watatu wa mke mwenza kisa mke mdogo kupendwa zaidi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia Wende Luchagula, Miaka 30, Kabila Msukuma, Mkazi wa Kijiji cha Milonji kwa kosa la mauaji baada ya kuwa chinja watoto wa mke mwenzake watatu mpaka kufa. Tukio hilo limetokea Julai 12, 2025 majira ya saa nane mchana huko Kijiji cha Milonji, Kata ya...
  6. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mbali na Mwenza kuna Changamoto sana

    Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu.. Awe ni mke/mume , mchumba au mpenz . Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na ukawaza mambo mengine Kabisa. Wivu na hasira. Kwa Wote ambao Wenzi wetu wako mbali. Eeeh Mungu...
  7. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kumsifia mwenza wako mambo ya falagha kwa mashoga zako sio kweli

    Mambo ya falagha yabaki kuwa ni siri baina yenu iwe kwenye ndoa au mahusiano ya kiuchumba. Kuyasema maufundi anayo unayofanyiwa na mwenza wako unawatafutia watu lawama. Kuna baadhi ya wanawake hawajawai kufikishwa na kukunwa vilivyo kutokana na madai mengi ya baadhi yao, sasa unapo waambia...
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  9. Principle girl

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

    Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
  10. Walletking

    JamiiForums Tanzania Mwanamume wa Heshima (29) anatafuta Mwenza wa Maisha mwenye Dira na Dini

    Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi, msikivu, sina anasa, ninathamini mawasiliano ya kweli na uaminifu. Hobies: Kusafiri, kusoma, muziki, na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kijana Ukiwa above 25 ni bora usiwe na mwenza kabisa kuliko kuwa na mwenza hasiye na Mchango wowote kwenye maisha yako

    allen_strong anasema As a man, you should either have a supportive woman by your side or no woman at all. There's no third option. Japo yeye ameongelea kwa wanaume ila mimi naongezea hata kwa wanawake pia. Ni bora uwe single kuliko kuwa na mwenza hasiye na mchango wowote positive kwenye...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta mwenza HIV+mwaka 2022

    Habari ya siku ya leo wana Jamvi natumai wote ni wazima wa afya..kwa upande wangu sipo vizuri sanaa nipo kitandani siku ya 3 sasa afya kidgo changamoto,katika haya maisha ukiwa na afya njema basi wewe ni Tajiri sana hivyo tujifunze kushukuru,basi twende moja kwa moja kwenye lengo..mwaka 2021 na...
  14. RALC255

    JamiiForums Tanzania Mwenza Kupotea kwa Miaka 5 Kunatosha Kuvunja Ndoa?

    Presumption of Death katika Sheria ya Ndoa na Mirathi ➡️ Je, mtu anapotea bila mawasiliano kwa miaka mitano mfululizo… je, bado ni mume/mke wako halali? ➡️ Je, bado atahesabika yupo hai? unaweza kufungua mirathi bila cheti cha kifo chake? ➡️ Au kuolewa tena bila talaka? Hili si swali la...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ipi siri ya wewe kudumu muda mrefu na huyo mwenza wako?

    Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
  17. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Katiba iweke ulazima wa mtu kuoa/kuolewa, iwe ni uhaini kuishi bila mwenza

    Hili liingizwe kwenye katiba ya nchi kabisa, ni marufuku mtu kuishi mwenyewe kama upanga maana hatuna uhakika unamaliza vipi hizo haja zako zingine. Itasaidia kupunguza ubakaji, masingo maza, watoto wa mitaani na mambo ya ushoga. Itasaidia kupunguza matukio ya watu kufa kwa kukosa msaada maana...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Singo maza wa dodoma anatafuta mwenza

    Ni mmarangu,umri 36,ana mtoto wa kike anasoma darasa la 7,anafanya kazi wizara ya mambo ya ndani,dodoma na ni mkkkt.Anatafuta mwenza ambae watakubaliana kuishi pamoja na kupata watoto,na watashirikiana kila kitu kwenye maisha.kama kuna mwanaume atavutiwa na hizo sifa basi aje inbox.Mwanaume awe...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwenza ambaye kwako anakuja kama mzigo badala ya msaidizi

    Mwenza ambaye anakuja kwako kama mzigo kisha anakuwa anataka kukutumia kwa maslahi binafsi kisha arudiane na ex wake,au atakuacha ghafla bila sababu zozote za msingi huwa mwenye sifa zifuatazo. 1.ANAKUWA ANAPITIA KIPINDI KIGUMU SANA KIFEDHA HIVYO ANAHITAJI MSAADA WAKO TU Kumchagua mwenza ambaye...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa?

    Msaada wakuu naona hapa mwenza ana madoa meusi ya vipele mwili mzima kuna usalama hapa? Ni kama aliwahi kuwa na vipele vikubwavikubwa vikapona. Mule kulikokuwa na vipele kumebaki madoa meusi kama amezimiwa sigara. ni mwili mzima. Eti wakuu kitaalamu hii imekaaje? Chukulia ingekuwa ni wewe...
Back
Top Bottom