mwanza

  1. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

    Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake. Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali. Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu...
  2. Francis12

    JamiiForums Tanzania Hujuma za kutisha uchaguzi mkuu wa BAWACHA - Mwanza

    Anaandika Mdau kutoka Mwanza HUJUMA ZA KUTISHA UCHAGUZI MKUU WA BAWACHA - MWANZA Leo 18 May 2021 ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Bawacha Taifa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na akina Halima Mdee na wenzie, Kwa tulio wengi tunategemea Chadema kama Chama cha Demokrasia na waumini wakubwa wa uhuru...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Katibu Mkuu BAWACHA: Nani ni nani?

    UKATIBU MKUU BAWACHA NANI NI NANI? HAPO LEO TAREHE 18 / 05/2021 - MWANZA 1. ESTER DAFFI UIMARA 👉🏼Ni kijana aliyekulia kwenye Chama toka Bavicha ya John Heche akiwa Naibu Katibu Mkuu Bavicha Chini ya Deogratius Munish. 👉🏼Amekuwa Afisa Utawala na Rasilimali Chadema Makao Makuu. 👉🏼Amekuwa Afisa...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Mwanza

    Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari. Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha. Tumefika sehemu Morog kufukia...
  5. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Chalamila amalize kwanza tatizo la Daladala na Bajaj Mbeya Kabla hajapelekwa Mwanza

    Mheshimiwa Samia! Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza. Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mwanza limetoka jembe limeingia sululu hakuna kisiki kitabakia, Hongereni sana!

    Mwanza na Mbeya ni mikoa inayotegemeana na kutendeana haki, hongereni sana. Ujio wa komredi Albert Chalamila unakwenda kuinua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza, jambo la muhimu ni kumpa ushirikiano wa kutosha na kuchapa kazi. Mwanza limetoka jembe limeingia sululu, Yote heri. Mungu awabariki!
  7. Yenga08

    JamiiForums Tanzania Hongereni wana Mbeya na poleni wana Mwanza

    Toka ateuliwe kuwa mkuu wa mkoa wa Mbeya huyu ndugu wana Mbeya hawajawahi kumkubali kabisa, maana utendaji wake wa kazi ni wa sifasifa tu na mda wote kwa media siyo kama Jembe la Simiyu lililopelekwa Dodoma, hongereni saana pia wana Idodomya. Naamin kabisa watu wa Mbeya watakuwa na furaha sana...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

    Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...
  10. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Mwanza yatajwa kuwa na watoto wabwia ugoro wengi

    Mwanza yatajwa kuwa na watoto wabwia ugoro wengi Mkoa wa Mwanza umetajwa kuwa ni miongoni mwa mikoa nchini yenye vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji, ulawiti na mimba za utotoni kitendo ambacho kinatajwa kuwa ni hatari kwa ukuaji wa uchumi na kukosa nguvu kazi ya Taifa. Inaelezwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Hayo yamefichuka leo baada ya hotuba ya Mh Rais Samia Suluhu alipokuwa anawahutubia Wafanyakazi wa Tanzania kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Ameitaja Corona kama sababu kubwa ya kuanguka kwa uchumi wa Nchi yetu , ambapo amewaomba wafanyakazi kuvumilia hadi mwakani ili kuongezwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu

    Hotuba za wafanyakazi zimejaa malalamiko na makasiriko dhidi ya serikali, zimejaa uzuni na maumivu. Wanasoma hotuba Kama hizi kwa mara ya Kwanza toka mwaka 2016 ndoto zakuandika uhalisia wa Watumishi zilipozimwa rasmi. Kwa namna zilivyoandaliwa ni Kama wanamategemeo makubwa na Rais mpya bila...
  13. instagram

    JamiiForums Tanzania Ndugai awaponda wana Mwanza kwa kuezeka nyumba zao na Mabati ya kizamani, Masufuria

    Akitoa salamu zake mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema "Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi Mwanza: Rais Samia ahutubia, aahidi kuongeza mishahara kuanzia mwakani, agusia mafao ya wastaafu

    Kutoka jijini Mwanza tunawaletea taarifa za moja kwa moja, maadhimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi duniani,ambayo kitaifa yanafanyika hapa. Mgeni rasmi anatarajiwa kua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mama Samia Suluhu Hassan, ambapo atapokea maandamano ya wafanyakazi...
  15. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

    Wana bodi, natumai mko poa Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa mkoa wa Mwanza Tanzana kunufaika na huduma ya reli ya Nairobi hadi Kisumu, yajayo raha tu

    Hayawi hayawi huwa... Kenya Railways Corporation (KRC) has begun refurbishing 31 trains ahead of the launch of Nairobi - Kisumu train service. In a statement shared on Wednesday, April 28, the corporation noted that the refurbishment is being done by the state-owned Numerical Machining Complex...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

    Katika kuonyesha Upendo na mshikamano Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza limewafuturisha waislamu. Sheikh wa Kirumba amemshukuru mchungaji wa Kanisa hilo kwa Upendo waliouonyesha. Source: Star tv
  18. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je, unahitaji kiwanja au nyumba ya kununua jijini Mwanza?

    Hello, kama unahitaji huduma tajwa hapo juu.. kununua kiwanja/viwanja kununua nyumba karibu tukuhudumie ndani ya jiji la Mwanza (igoma, kisesa, nyegezi, n.k) Mawasiliano; 0744033555
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza naomba Mwenyekiti wa Waendesha Daladala Jijini Mwanza awekwe ndani mara moja

    Jana nimemsikia Mwenyekiti wa Waendesha Daladala jijini Mwanza anaitishia serikali kwamba wasipowaondoa Waendesha Bajaji eneo la Buzuruga ataitisha mgomo mara moja! Ni ajabu sana huyu mtu kubaki uraiani mpaka sasa, anaitishia serikali yeye kama nani? Kuna watu wameanza kuleta dharau za...
  20. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Unahitaji Nyumba/ kiwanja/Shamba ndani ya jiji la Mwanza?

    Hello JF. Karibu tukuhudumie katika Mahitaji ya kununua Nyumba katika maeneo mbalimbali ya jiji kama igoma nyegezi kisesa n.k Kununua viwanja na mashamba ndani ya jiji la mwanza sehemu kama Fumagila bado kuna mashamba makubwa yanahitaji wanunuzi Viwanja vipo vyenye hati na visivyo na hati...
Back
Top Bottom