mwanza

  1. kibovu

    Hospitali ya macho Mwanza

    Wakuuuu poleni na majukumu, Naombeni msaada wa hospital nzuri ya macho Mwanza inayotibu kwa bima ya afya, asanteni.
  2. J

    David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh Mongela amesema Idara ya uhamiaji mkoani humo imefanikiwa kumkamata David Kasesela ambaye ni master mind wa biashara ya kusafirisha biashara haramu. Mongela amesema kwa muda mrefu wamekuwa wanamsaka Kasesela na leo wamefanikiwa kumtia mbaroni akiwa na kundi la...
  3. N

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jiji limekushinda, Jitafakari! Ni pachafu sana

    Wakuu, John Mongella kawa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa muda sasa, lakini cha ajabu hakuna jipya lolote aliloonyesha hususa ni Mwanza jiji ambapo ndio kioo cha Mkoa mzima wa Mwanza. Jiji la Mwanza kwa sasa lipo hovyo hovyo sana halina mpangilio wowote ukilinganisha na lilivyokua kipindi cha...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Bujibuji leo niko Mwanza

    Bhing'hwe, mwo misha mola? Weekend hii nipo Mwanza, kabla sijachomoka jumatatu asubuhi na bundi wa Chato. Sii mbaya nikikutana na mwana JF hata mmoja, akiwa wa ile jinsia pendwa itakuwa poa zaidi, huenda tukaperuzi ule uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA
  5. Nyanswe Nsame

    TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa

    TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni. Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo imeingizwa katika mpango wa kusaidia kaya zinazoishi maisha duni. Agosti 2012 Serikali ilizindua...
  6. Mkame_

    Nahitaji kazi ya Tax Accountant - Mwanza

    Habari wakuu, naamini JF ina watu muhimu na makini sana kwa nchi hii. Mimi nafanya kazi katika Auditing firm hapa dar es salaam kama Tax Accountant, lakini pia nafanya external Audit maana ukiwa firm ndogo unafanya majukumu mengi zaidi. Kwasababu za kifamilia nalazimika kuwa Mwanza. Hivyo...
  7. K

    Utapeli wa biashara ya kuwekeza unaofanywa na kampuni ya FX Fire iliyopo mkoani Mwanza

    Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa 60% ya kiasi cha pesa ulicho wekeza, alikuwa akifanya hii biashara ya uewekezaji tangu mwaka jana...
  8. Erythrocyte

    Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  9. Grand Canyon

    Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

    Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
  10. Edsger wybe Dijkstra

    Mji wa Mwanza umekuwa na Joto kali sana

    Wajomba na mashangazi hamjambo? Natumaini mko poa. Ivi wakazi wa mwanza pamoja na wale ambao mmeutembelea mji huu siku za karibuni hamjagundua kuwa jua limekua kali sana likiambatana na joto la kufa mtu katika mji huu? Nimeishi Mwanza toka mwaka 2000 hali haikua ivi , kuna mabadiliko makubwa...
  11. kibovu

    Kiwanja kizuri cha kula bia Mwanza

    Wakuu poleni na maumivu ya january, Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza Shukrani.
  12. The Palm Tree

    Kwa Waziri wa Mambo ya ndani, RPC & RTO Mwanza: Kwanini vijana wenu (Traffic Police) wanatubambakia faini madereva bila kujua..?

    Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo. Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali. Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
  13. K

    Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Hi, Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL AUTOMATIC 4WD. NB NAHIYTAJI UHALISIA NA UZOEFU ZAIDI...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kati ya Arusha, Dar, Dodoma na Mwanza, wapi wanaongoza kwa kula mboga?

    Watu wamekuwa wakila mboga kwa visingio mbalimbali, wengine wakisingizia hii sio mboga, hii ni mishikaki. Wengine wanasema hii sio mboga, hii ni supu na wengine wanasema hii sio mboga ni nyama choma. Sasa katika hiyo mikubwa ni wapi mahiri zaidi kwa ulaji wa mboga?
  15. BrAsMaRiLiSaShElMa

    Genge la walaghai, matapeli na wanyang'anyi wanatesa wananchi hapa Sahara jijini Mwanza

    Kwako OCD NYAMAGANA, C.C. RPC MWANZA; Bila kupoteza muda napenda nieleze juu ya uovu unaofanyika hapa eneo la SAHARA, mkabala na Posta Pamba Road. Katika eneo hili kuna pilika nyingi za kibiashara, ambapo watu wengi kutoka sehemu mbalimbali hufika hapa ili kujipatia mahitaji yao mbalimbali...
  16. Ndengaso

    Mwanza: Wazee waitikia wito wa uhakiki mafao

    Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.
  17. Mkogoti

    Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

    Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa, Sasa...
  18. Roving Journalist

    Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  19. Fatma-Zehra

    Naomba kufahamu hotel nzuri Mwanza

    Nataka kwenda Mwanza for personal issues. Naomba kufahamu the best hotel, located at the beach front na ambayo ina big rooms, madirisha makubwa facing the beach. Price siyo tatizo. Umbali kwenda mjini au airport siyo tatizo pia. Shukrani sana.
  20. S

    Natafuta chumba cha kupanga Mwanza Mjini

    Habari wanna jf... Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
Back
Top Bottom