mwanza

  1. Mbowe aingia Mwanza usiku mnene kuwapigania Wanachadema waliorundikwa selo bila makosa

    Mpigania uhuru anayetamba barani Afrika, Laingwanani, Mtemi Isike au Abubakar Mbowe ameingia Jijini Mwanza usiku mzito , ili kuokoa wafuasi wa chama chake na Maaskofu waliokamatwa kinyume cha sheria za nchi . Hata hivyo baada ya kusikia mwamba anaingia Mwanza watuhumiwa wote 128 walioshikiliwa...
  2. Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya

    Polisi wa Nyakato Mwanza, wamezua kongamano la Katiba mpya kwa Sababu walioandaa Kongamano kawajatoa taarifa Polisi. Hivyo likifanyika bila kibali cha Polisi litakuwa ni batili.
  3. Ili kuwa na taifa linalofuata misingi ya katiba na sheria, waliokuasanyika bila kibali Mwanza wafikishwe mahakama kesho

    Ukweli ndio huu, kama wamevunja sheria wakidai katiba basi katiba iliyopo ifuatwe. Kesho Jumatatu wawe arraigned in court in Mwanza. Sio kuwakaalisha mahabusu wakila chakula cha bure. My take: Sheria ifuate mkondo wake ili tudai vizuri katiba mpya.
  4. RPC Mwanza: Heche na Msigwa walitakiwa kutoa taarifa kwangu kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapa

    RPC-Mwanza, SACP Ramadhan Ngh'anzi anasema John Heche na Peer Msigwa kuwa walipaswa kutoa taarifa kwake kuwa wanaingia Mwanza na watafanya shughuli zao hapo. RPC hajui lolote kuhusu "uhuru wa mtu kwenda atakako" (ib.17) katiba ya JMT, sheria ya 1984, Na. 15? Au Mwanza siyo Tanzania?
  5. Rais Samia kabambikiwa sakata la Mwanza?

    JE NI KWELI KAAGIZWA? NI LAZIMA ASEME? Sakata la CHADEMA na Polisi huko Mwanza lina harufu ya hujuma zifuatazo: 1. Je ni kweli Mh. Rais kaagiza kongamano lizuiwe? 2. Kama kaagiza kwa nini amuagize RPC badala ya IGP? 3. Je ni kweli RPC kasema hadharani kuwa kaagizwa na Rais au kachomekewa...
  6. Mwanza: Watu 30 wanashikiliwa na polisi kwa kukusanyika na BAVICHA bila kibali

    Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali. BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa...
  7. P

    Nini Tafsiri ya kongamano la BAVICHA lilofanyika Dar na hili la Mwanza?

    Mwezi uliopita Bavicha waliaanda kongamano huko Dar, wakaongea hadi jasho na likapita. Je, Mwanza wangeacha jasho liwatoke silingepita kama Dar.
  8. S

    Natafuta kanga 20 wa kufuga nipo Mwanza

    NATAFUTA KANGA 20 WA KUFUGA MWANZA Wawe bado wadogo jike 15 na jogoo 5 weka bei hapa na mahala wa kuwapata
  9. Mwanza: Askofu Mwamakula na Dkt. Lwaitama wakamatwa na Polisi

    Walikuwa kwenye maandalizi ya kongamano la Katiba mpya Ni Askofu Mwamakula, Dkt. Lwaitama na Twaha Mwaipaya Pia soma Mwanza: Polisi wazuia Kongamano la Katiba Mpya Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais
  10. Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
  11. RATIBA: Baada ya Mwanza Kongamano la Katiba Mpya lielekee Ikungi -Singida

    Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa . Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi...
  12. Kongamano la Katiba Mpya kuendelea Mkoani Mwanza, vigogo kadhaa kutoa mada

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kila mahali hivi sasa , na kwamba watoa mada ni miongoni mwa wazito kadhaa , idadi yao inatajwa kwamba huenda ikazidi wale waliojitokeza Dar es Salaam MUHIMU : Wahudhuriaji wanaombwa kuzingatia mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona
  13. B

    Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

    Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: “Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima." Mwenye masikio na asikie...
  14. Z

    Nina mtaji wa Milioni 5, ninaomba mwongozo biashara ya nafaka

    Habari za mchana. Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
  15. UVCCM wamuonya Anthony Diallo

    Katibu wa umoja wa vijana wa CCM Khenan Kihongosi amemuonya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza bwana Diallo kuwa aache upotoshaji mara moja, kitendo cha kusema baadhi ya viongozi waliopita walitakiwa kuwa Mirembe ni cha kipotoshaji kwani Diallo yupo kwenye vikao vyote vya maamuzi kwani ni mjumbe...
  16. J

    Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

    Bado najiuliza huyo mwanasiasa aliyetajwa na Dr. Anthony Diallo kwamba alikuwa na jalada hospitali ya Mirembe ni nani? Na kwanini mifumo ilimruhusu kugombea? Nawasalimu kwa jina la JMT! ========= KWA UFUPI Mahojiano kati ya Mhe Anthony Diallo Mwenyejiti wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mtozi Alloyce...
  17. Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

    Rais Samia akiwa katika ziara yake mkoa wa Morogoro maeneo ya Kibaigwa amewataka wananchi wote kuchukua tahadhari juu janga la Covid-19. Katika kufafanua jambo hili Rais Samia amesisitiza kuwa wimbi la tatu la ugonjwa huu limeshaanza kutikisa katika miji mikubwa ya taifa la Tanzania. Aidha...
  18. M

    Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

    Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali. Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu...
  19. Mwanza: Wapigwa shoti ya umeme wakiwahamisha wamachinga

    Wafanyakazi wanne wa kampuni ya Khimji wamejeruhiwa baada ya kupigwa na shoti ya umeme baada ya winchi walilokuwa wamepanda kugusa nyaya za nishati hiyo. Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Julai Mosi, 2021 katika mtaa wa Kirumba inakofanyika shughuli ya kubomoa vibanda vya wamachinga wanaodaiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…