mwanza

  1. Undava King

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after...
  2. dj afro fan

    JamiiForums Tanzania Habari zenu.. nahitaji ISP hapa mwanza

    Ndugu zangu nina uhitaji wa internet nyumbani.. nahitaji kujua internet provider wa hapa mwanza. Mm nipo bwiru press
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwanza kwenda Nairobi

    Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi. Maswali yangu ni Lipi basi zuri? Nauli kiasi gani? Safari ni masaa mangapi? Vipi kuhusu chanjo mpakani? Nk. Natanguliza shukrani
  4. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Huyu ndege analindwa sana hapa jijini Mwanza. Kama wewe ni mgeni hapa chukua tahadhari

    Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile. serikali inamlinda sana. Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja mita 400 kutoka eneo la chuo kinauzwa Mwanza

    Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa. UKUBWA 1. UREFU 28 2. UPANA 25 Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA. NB: Mawe yapo around hautahtajika kutafuta gari kwa ajili ya kazi hiyo BEI TSH. 3,300,000/=...
  6. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Tanesco Mwanza kama kuna Mgao wa Umeme tangazeni, leo ni siku ya 4 mnakata umeme asubuhi mnarudisha jioni

    Kila ikifika asubuhi wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi? Hili shirika ni la hovyo sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kazi za House Keeping Hotelini Lahe Mwanza. Simu 0754290084

    Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ninanauza Mafuta ya Alizeti

    Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
  9. Mai-Ndombe

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
  10. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa - Igoma jijini Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza. size ni 30*25 ft kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza. Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia. Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho. Bei 6 million mawasiliano 0713096076 0713096076
  11. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

    Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea. Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme. ===== UPDATE ====== Ndege za Air Tanzania ziko salama hakuna...
  12. Dith

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  13. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Igoma Mwanza

    Kiwanja kinauzwa IGOMA mtaa wa kilimo msikitini SIZE YAKE NI HATUA 33*33 Kimepimwa (beacon zimewekwa) Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote. kutoka kiwanjani kwenda igoma senta dakika 5-10 tu kwa pikipiki/gari. kwenda machinjioni/kijereshi ni dakika 3-5 kwa boda. BEI NI 15 mil...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Maji: Tatizo la maji eneo la Mwananchi jijini Mwanza

    Kwanza nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo ni tunasherehekea miaka 60 ya kumbu kumbu ya uhuru wetu. Kwa masikitiko Mhe. Waziri hapa Mwanza maeneo ya Mwananchi tuna siku ya tatu hakuna tone la maji bila hata MWAUWASA kutoa taarifa. Nimesikia likisemwa kuwa wewe ni kati...
  15. Ramon Abbas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao. Natanguliza shukrani
  17. Edsger wybe Dijkstra

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

    Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part time. Tuwasiliane pm kama upo tayari.
  18. Jimmy ally

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mgambo wawapiga wafanyabiashara katika Soko la Mbugani

    Mwanza mida ya saa 1&2 usiku mgambo waliingia katka soko la Mbugani walikohamishiwa machinga na akina mama wauza mbogamboga na samaki, na kuwapiga waliokuwa wamepanga mbogamboga pamoja na samaki, na kupigwa pamoja na kumwagiwa bihashara zao pamoja na kunyanganywa samaka. Katika tukio ilo wawil...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Rais Samia asisitiza Tafiti kubaini chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
Back
Top Bottom