Mwanza: Watu 30 wanashikiliwa na polisi kwa kukusanyika na BAVICHA bila kibali

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,861
Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali.

BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa kufuata sheria.
 
AEpe7Q.jpg
 
Habari kama hizi hupendwa sana na vyawa wa yule bwana wakiwamo wa huyu mama. Pia bila ya kuwasahau cowards na cowardice wote wengineo wakiwa baina yetu.

Hata hivyo hatutarudi nyuma. Watengeneze rumande na magereza zaidi za kututosha.

Zilizopo bila shaka hazitatosha kutuhifadhi 10m+ tuliodhamiria kulala nao mbele relentlessly.
 
Chadema wanaijaribu serikali, ni vyema wakatizamwa kwa jicho la tatu wale wote ambao nia yao ni kutuvurugia amani yetu.
Amani yetu ni muhimu kuliko chama chochote kile, vyombo vyetu visisite kuchukua hatua sahihi kwa yeyote yule anaye jaribu au hata kufikiria kuvuruga amani yetu kwa njia yoyote ile.
 
Amani ni nini?
 
Amani unayo wewe na familia yako! Usiwe zwazwa kiasi hicho,,,huwezi kuwa na amani kwenye nchi yenye viongozi hovyo km hii! We utakuwa kwenye payroll fala sana ww
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom