Hiki chumba kinapatikana ukanda wa maziwa makuu nchini Tanzania pembezoni mwa Ziwa Victoria jijini Mwanza na kinagharimu USD 70 takribani shs za kitanzania 150,000 kwa usiku mmoja tu, room hiyo ni kwa wageni wawili as mke na mume au mtu mmoja.
Kulingana na uwekezaji aliofanya huyu mtu nahakisi...
NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076
Nauza bajaj za kila aina!!
Bei nzuri tu
kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho.
zote ziko vijiweni zinafanya kazi
MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
Leo nimebahatika kufika Ofisi ya ATCL Mwanza kwa ajili ya booking. Niliyoyakuta pale haileti hadhi kuwa ile ni ofisi ya ATCL.
Kihadhi kwa kweli ofisi imechoka mbaya. Ofisi haikupakwa rangi kwa kweli muonekano wa nje ni chafu.
Nilipoingia ndani nimewakuta watumishi watatu. Nimewakuta hawana...
Mtu mmoja ambaye hajatambulika jina lake, mkazi wa Mwanza na mfanyabiashara ya Tax amekutwa amekufa kwenye tax yake wilayani Sengerema baada ya kukodiwa na watu wasiojulikana kutoka jijini Mwanza.
Mtu huyo aligundulika kuwa ameuawa, kwa kunyongwa na kamba ngumu iliyofungwa shingoni kisha kwenye...
Kamati ya viongozi wa dini mkoa wa Mwanza imefanya mkutano wa kukemea hali ya mauaji yanayoendelea hapa nchini ambao wamekutana kwa ajili ya kujadili hali ya mauaji yanayoendelea.
Mbali na kamati ya viongozi wa dini mkoa pia wameshirikishwa viongozi wote wa dini wa mkoa wa Mwanza. Katika...
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja
Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu.
Asante
Nimepata bahati ya kuingia katika Jiji la Mwanza usiku wa Jana kiukweli mji ni mzuri Sana Cha kunishangaza nimepokelewa na Giza Totoro Sasa najiuliza hivi mamlaka husika hazioni hili tatizo?
Nimeongea na wenyeji wangu wadai wamezoea Giza maana Kama taa zote zinatumia mfumo wa umeme jua kwanini...
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano wakiwemo mke na mume kwa tuhuma za kuhusika kwenye mauaji ya watu watatu wa familia moja katika mtaa wa Mecco mkoani Mwanza.
Kwenye tukio hilo lililotokea Jumanne Januari 18, 2022 mfanyabiashara, Mary Charles (42), mtoto wake, Jenifa...
Last week natoka Mwanza kuja Dodoma nimekaa na jamaa anakera kweli kweli kwenye siti yeye na mtoto wake kufika hadi kunitapikia.
Tuligombana sana hadi nafika Mwanza, leo narudi Mwanza kwenda Dodoma kuna kijana kapandia njiani kaja kukaa siti ya pembeni yangu yaani kwanza ananuka sana pili ni...
Hii imekuwa too much maana kila siku ni mauaji kwenda mbele. Maiti za wanawake watatu zimeokotwa huko Mwanza.
Maiti za wanawake watatu zaokotwa kando ya mto.
-----
Wanawake watatu wanaokadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 18 hadi 30 wameuawa na watu wasiojulikana na miili yao kukutwa pembezoni...
Wakuu, salaam.
Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza.
Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa.
N.B: nahitaji contact number ya springs city garage (wachina) in Mwanza.
VICTORIAN GIRLS HIGH SCHOOL,
Luchelele Nyamagana District,
P.O.BOX 3145, Mwanza Tanzania,
Tel: +255 754 446624, +255 743 475384, + 255 757 642296
Email: victoriangirls2019@gmail.com
Victorian Girls High School is a private school which is located at Luchelele near St. Augustine University...
Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania, sasa nimeona nichange pesa ili niweze kununua nyumba mkoa wa mwanza na kuanza kuishi uko
nataka kujua...
Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri.
Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu.
Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu.
Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake.
Mkuu wa...
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.