Mwanza: Bomoabomoa yaacha Machinga na vilio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
89,692
2,000
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
4,427

WOTE TUKO NCHI HII
KUSEMA HAMKUPEWA TAARIFA NI UONGO MBELE YA MUNGU;
KUSEMA HAMKUPEWA SEHEMU YA KWENDA NI UONGO MBELE YA MUNGU
Mwandishi wa hii habari ni mchochezi na hana maana yoyote- si mkweli
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,708
2,000
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Kwani walitokea wapi mpaka wakafika hapo?
 
Mdumange

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
768
1,000
Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
 
kolola

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
3,929
2,000
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Huwa hueleweki mara wanachafua miji na leo unawatetea! Ndivyo mlivyo kila kitu pinga pinga
 
binti kiziwi

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
5,003
2,000
Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Muwakome wapinzani, mnawalipa mshahara kwani? Wale waliojazana bungeni na wanalipwa kwa kodi yako wamekusaidieni nini mpaka sasa!?

Mshazoea kuwafanya wapinzani punching bag zenu, yakiwakuta mnakaa pembeni kuwaita viherehere, Waliibiwa kura mwaka jana mliwasaidia kitu gani? Pambaneni na hali zenu ebooo!
 
Killboy

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,355
2,000
Hivi vyama vya upinzani viko wapi kwenye hii issue?? hapo ndio unagundua upinzani wa bongo ni zero kabisa. Sasa mpaka wamsubiri huyo mkimbizi wao alieko belgium aone kwa video ndio halafu aombe interview bbc au deutsche welle. Upinzani bongo mavi kabisa na hautashika dola milele, maana issue ya wamachinga ingewajazia kura...
Imekuuma ehh?we c ndo ccm kindakindaki sasa kula jeuri yakooo..wakt wanapitisha wabunge wote wa ccm mlisheherkea hadi na ng'ombe zikachichwaa....majina yote mabaya mkawapa wapinzani..sasa leo limekufika mmachinga mmoja ww unaanza kuuona umuhimu wa upinzanii...unataka hizo kelele waje kupigia kibarazan kwako?pambanana hali yako
 
kamwamu

JF-Expert Member
May 18, 2014
3,971
2,000
Hapa ni pale walipokuwa wanabomoa mabanda yao kwenye maeneo yaliyokatazwa.

Sikufurahishwa na Wamachinga kuzagaa kila mahali, lakini kilio chao kimenisikitisha sana, Viongozi waliowatapeli hawa watu na kuwaweka kwenye maeneo hatarishi hadi wakajisahau namna hii walaaniwe haraka.

Wamachinga ni wabishi, walilemazwa na Magufuli msigina katiba. Aliwaruhusu kuzagaa mijini kinyume na sheria za mipango miji. Samia alieleza waondoke maeneo yasiyo ruhusiwa, mpaka leo mikoani hawajahama.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom