Mwanza: Watu watano wa familia moja waungua moto na kufariki dunia

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza.

Chanzo: Nipashe
 
Mitaa yangu kqbxaa...hakika ilikuwa ni huzuni na majonzi makubwaa..nliumia zaid wale madogo waliokiwa wanajiandaa kwenda chuo leo...
 
Back
Top Bottom