Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,191
Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana.

Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza.

Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..?

🧭 Yule anayetaka kujua umbali kwa mfumo wa picha nadhani hii ramani itakusaidia.


Zoom and fetch area you want.
tanzania_road_map.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom