Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika.
Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
Abdifatah Moalim Nur maarufu kwa jina la Qeys aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV amefariki kwa shambulio la bomu wakati alipokuwa kwenye mgahawa katika Mji Mkuu, Mogadishu.
Anakuwa Mwanahabari wa kwanza kuuawa ndani ya Mwaka 2023 Nchini Somalia.
Kundi la Wanamgambo wa Al-Shabab limekiri...
Mwandishi wa habari kutokea Urusi Bi.Marina Ovsyannikova (45) ambaye alipata umaarufu baada ya kupinga vita ya Ukraine akiwa studio ameugua ghafla na inasadikiwa amewekewa sumu.
Marina alianza kufuatiliwa kimataifa mwezi Machi mwaka jana baada ya kuvamia studio ya televisheni ya taifa ya Urusi...
Wanaukumbi.
Israeli ilikata pumzi yake ya mwisho
Chini ya mada hii, gazeti la Kiebrania "Haaretz" lilichapisha makala ya mwandishi mashuhuri wa Kizayuni (Ari Shavit), ambamo amesema: Inaonekana kwamba tunakabiliana na watu wagumu zaidi katika historia, na hakuna suluhu kwao isipokuwa tu...
Marina Ovsyannikova ambaye alishiriki katika maandamano katika Matangazo mubashara (live) ya kwenye TV kupinga vita ya Taifa lake la Urusi dhidi Ukraine, amehukumiwa adhabu hiyo akiwa hayupo Mahakamani.
Amekutwa na hatia ya "Kusambaza hadharani habari za uongo licha ya kuwa na ufahamu kuhusu...
Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano.
Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI
SEHEMU YA KWANZA
Mtunzi: More
Mawasiliano: 0756320219
Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
Mjue james Hardley Chase, kipenzi cha wapenda riwaya za kusisimua, aliyehamasisha wengi kupenda utamaduni wa kusoma vitabu na ung'eng'e
Taja jia la James Hadley Chase na wahenga wenzangu wengi watakuambia huyo alikuwa ni mmoja wa waandishi maarufu sana wa riwaya za kusisimua wa wakati huo, na...
KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA.
Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla.
Kitu kinachojitokeza kwa...
Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ.
Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC.
Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
Mwandishi: Saadala muaza
Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani.
Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili.
Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni.
Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
Mamlaka zinamshikilia Mir Ali Koรงer, Mwandishi, wa Habari wa Kujitolea anayetuhumiwa kuweka Mtandaoni taarifa za Uokoaji na hali za Majeruhi wa Tetemeko la Ardhi lililoua takriban watu 50,000 Februari 6, 2023.
Mir Ali Koรงer ni kati ya Waandishi 4 waliokuwa wakichunguzwa kwa kuripoti taarifa za...
Mwanahabari huyo mashuhuri na Mmiliki wa Radio M, ambayo hurusha mijadala mbalimbali kuhusu Siasa za Algeria, aliwekwa rumande Desemba 29, 2022 kwa kushutumiwa kupokea pesa kinyume cha Sheria kutoka kwa watu na Mashirika "kwa kubadilishana na kutekeleza shughuli ambazo zinaweza kudhuru usalama...
Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake.
Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa โkufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifaโ. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
Wengi tuliona video clip ikimuonyesha Mzee Makamba akimpiga vibao begani na kumfokea na kumkashifu Mwandishi wa Habari kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
Shambulio hilo baya na la aibu amefanyiwa mwandishi wa habari mchana kweupe na kila mtanzania ameliona lakini jambo la kusikitika jukwaa la...
Mashahidi 9 na vielelezo 10 vitatumika katika kesi namba 407 ya 2022 ya kimtandao katika Kundi la WhatsApp inayokambili mwandishi wa habari za afya na uchunguzi wa Gazeti la Raia Mwema, Mary Victor na wenzake wawili, Asha Mahita na Rogers Simeo.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala...