mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuelewe: Kama sisi hakuna mwanaume anayeridhika na mwanamke mmoja. Vivyohivyo kwa wanawake. Hakuna mwanamke anayeridhika na mwanaume mmoja!

    Habari za Sabato! Saikolojia iko hivyo. Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile. Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume. Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume. Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
  2. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu mwanaume, machozi yako na hisia zako havitathaminiwa popote

    Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa? Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi? Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle? Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma? Iko...
  3. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya mimba, sioni tatizo mwanamke kumuacha mwanaume fukara

    Kama mwanaume anaweza kumuacha mwanamke baada ya kumtia mimba, Sioni tatizo mwanamke akimuacha mwanaume aliye poteza Kazi, Ajira au Fukara
  4. Yofav

    JamiiForums Tanzania Ufupi na urefu wa mwanaume ni upi?

    Tukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu. Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi lakini utakuta bado wanawazidi wanawake wengi kwa urefu lakini chaajabu wanawake hao bado huwaita...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kutafuta pesa na kuzipata ni swali la lazima kwenye mtihani wa mwanaume 😊 ukiliruka basi utafeli mtihani wote

    KUTAFUTA PESA: MTIHANI WA LAZIMA KWA MWANAUME. Kwenye mtihani wa maisha ya mwanaume, kuna maswali ya hiari na la lazima, Swali la lazima ni moja tu: Kutafuta pesa na kuzipata. Hili si swali la kuahirisha kwani ukiliruka basi umefeli mtihani wote. Heshima nyumbani, sauti kwenye jamii, na hata...
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania VIDEO:Stori ni kuwa eti michelle obama ni mwanaume🤯

  7. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu?

    Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu. Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke. -Unampa kipaumbele zaidi yako -Unalia mbele yake -Upo emotional sana...
  8. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unapewa mara ngapi kwa mwezi?

    Kuna wenzako wanapewa mara moja kwa mwezi kama wanapokea mshahara.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  10. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume uliepo kwenye ndoa, umeoa au mme-oana na huyo mwenzako?

    Ugonile, kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake. Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka sasa ndo utaratibu wangu. kwa jinsi tulivyoumbwa ni wazi mwanaume ni kichwa cha Familia huku mwanamke...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hii ni mbinu ambayo wanawake hutumia ili kukeketa watoto wao wa kike pale wanapotambua kuwa waume zao hawaafiki suala hili (la ukeketaji)

    Wewe mwanaume uliye kwenye ndoa unaunga mkono ukeketaji kwa watoto wa kike? Kama huungi mkono unauhakika kuwa hao watoto wako wa kike hawajakeketwa? Hivi unajua kuwa baadhi ya wanawake (kwenye ndoa) hukeketa kwa siri watoto wako wa kike? Hii hapa 👇ni mbinu maarufu ambayo mke wako anatumia...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa kuwa baba wa kambo ni kwamba kila ukimtazama mtoto wa mwenyewe ndani kwenu unaanza kukumbuka bao la mwanaume mwenzako

    Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia: "Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
  13. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukichepuka, mke au mpenzi akijua unajiweka hatarini

    Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima. Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tafsiri yangu ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi) Matokeo...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Mwema: Kuvumilia au Kujiheshimu?

    Tafadhali wafundisheni watoto wenu wa kiume kwamba kuwa mwanaume mwema haimaanishi kuwa mtu wa kuvumilia dharau, misukosuko ya kihisia, udanganyifu wa kisaikolojia, au machafuko ya mara kwa mara kutoka kwa watu ambao hawajajifunza kuwaheshimu wengine kwa utu wa msingi. Wavulana wengi hukua...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Umeishi na Mwanamke ndani anakusingizia Ujauzito, wapo Wanawake amesomeshwa akishamaliza kusoma anamuona yule mwanaume hafai

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo) akichangia hoja bajeti ya Wizara ya maendeleo ya jamii leo Juni 1, 2026 Bungeni Dodoma "Huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unalea miezi tisa, anazaa mtoto unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakosana...
  16. bless on

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Jirani: Mwanaume Asiyeonekana

    Hii Dunia Kuna watu wanapitia matatizo makubwa sana hasa wanawake. Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunihadithia mkasa mmoja hivi.. Yeye alikutana na mwanaume wa kiarabu akatongozwa akamkubali, Sasa Yule mwanaume akamwambia atakuwa anakwenda kumtembelea kwake Ila asimwambie mtu yeyote yule...
  17. Stability

    JamiiForums Tanzania Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa

    Tangia nizaliwe sijawahi kuona mdada anaependelea mwanaume mfupi zaidi yake basi hvyo hivyo wanaume wasihukumiwe kwa kupenda Makebo makubwa Kila mtu afe na tamaa zake.
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Wengi hamuelewi hili ila masingo maza wenyewe wanakuona mwanaume mdhaifu or maybe retard kwa wewe kukubali kuwa step father😁

    Kaa mbali, acha kihere here😁 eti sijui boga na ua lake, hakuna kitu kama hicho, women are weird, bro.
  19. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama sio lazima usimfanyie hiki kitu Mke wako

    Wanawake kwa hasili ni wavivu hasa hiki kizazi Cha kuanzia miaka ya 1990_2000 Most ya vitu wanavyovifanya ni vya kuiga tu yeye akishaona rafiki yake kapelekwa Serengeti National park naye analazmisha apelekwe ili mradi tu apate picha na video za kupost status na tick talk na vijembe juu Ili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwako wewe mwanaume

    Ujumbe kwako wewe mwanaume wa leo, mwanaume mramba lipsi, mwanaume mrembuaji, mwanaume unae amini eti mabadiliko ya sayansi na technologia yatakubadilishia maisha yako (sayansi na technologia scam tu kama scam nyingine) 👊 Hebu sikia!!!... Mwanaume wa kweli hapaswi kujilegeza, kuzubaa zubaa...
Back
Top Bottom