Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,633
- 1,108
Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike
Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi
Mwanaume na viatu vinavyowaka taa wanaelewana vipi
Samsung watazidi kula kihalali hela za Wanaume
Hata wakitaka mchango Wanaume tupo tayari kuchanga