Iran imemnyonga mwanamume aliyekuwa akituhumiwa kuwa kiongozi wa mtandao unaohusishwa na idara ya ujasusi ya Israel na pia kushiriki katika kuchoma moto msikiti jijini Tehran wakati wa maandamano ya mwezi Januari, kwa mujibu wa chombo cha habari cha mahakama kiitwacho Mizan News Agency.
Mizan ilimtaja mtu huyo kuwa ni Amirali Mirjafari, ikisema alihukumiwa kwa kosa la kuchoma moto msikiti wa Qolhak Mosque pamoja na kuongoza shughuli zinazodaiwa kuwa za kupinga usalama wa nchi.
==========
Iran executed a man on Tuesday who was accused of being a leader of a network linked to Israel’s intelligence service and of setting fire to a mosque in Tehran during January protests, the judiciary's news outlet Mizan reported.
Mizan identified the man as Amirali Mirjafari, saying he had been convicted of carrying out arson at the Qolhak mosque in Tehran and leading anti-security activities.
Source: Reuters