Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
Mfalme wa HipHop Mziki wa kizazi kipya Nchini Marekani Mzee Snoop Doggy ametoa ushauri kwa Sisi kizazi kipya yaani Vijana wa leo.
Mheshimiwa huyo amesema kama wewe ni Mwanaume na una Uwezo au uko ktk position ya kumwacha Mke wako Fanya shughuli za Nyumbani( Family matters) basi hakikisha...
Kampuni ya Samsung inajua kumpa Mwanaume bidhaa anayotaka sio kama wale jamaa flani wanaotengeneza simu zilizopambwa kama za kike
Simu ina shine nje na ndani utafkiri imepakwa siagi
Mwanaume na viatu vinavyowaka taa wanaelewana vipi
Samsung watazidi kula kihalali hela za Wanaume
Hata...
Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea...
Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation.
Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM
Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣
Ushauri wa kipuuzi sihitaji.
Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe.
Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia.
Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
Jeshi la Polisi limelazimika kuwahi eneo la tukio na kuingilia kati taharuki iliyojibuka Kimara Mwisho, Wilayani Ubungo Mkoani Dar es salaam jioni hii baada ya Wananchi wa eneo hilo kumpiga Mwanaume mmoja anayedaiwa kupoteza sehemu za siri za Mkazi mmoja wa Kimara baada ya kumshika begani...
Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno.
Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume.
Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari...
Salaam jamiiforum.
Mwanaume unataka raha?
Mwanaume unadeka?
Mwanaume unasound kike kabisa,na ukipewa zawadi unalia,yaani kuna mshipa wa hisia unaokuteka na kuuharibu uanaume wako?
Hii si sawa,Leo ni siku ya mwisho wa Mwezi wa tatu mwaka 2026.
Karne ya 21 uliyobeba taswira nyingine ya...
VIPAOMBELE VIKUU VYA MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 30+
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Kila umri unavipaombele vyake. Umaana wa maisha unauleta wewe kupitia vipaombele vyako.
2. Ili ufanikiwe utahitaji kuzingatia vipaombele kulingana na umri wako, fursa zinazokuzunguka, mbinu, uwezo na...
sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni?
Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako.
una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya...
Afu demu awe mcharuko asee unaweza kupungua kilo 2 kwa kila saa.
28 huna mke hujaoa unasubiri nini? Malaya wengi wameongua na hao hao wa mtaani ndio wanaojipanga ikifika usiku.
Kwanini usiende zako kagera ukachukua zako mtoto wa kitutsi ukaenjoy bila stress
Mwisho, wito kwa serikali wazuie...
Mwanaume popote ulipo ujue kuwa unatakiwa u - hustle kutafuta hela bila kuchagua Kazi ya kufanya as long as itakuingizia kipato. Acheni ubishoo!
Hela za kuomba omba kwa watu hazijawahi kuwa na baraka, ujue hiyo laana inahamia kwenye ukoo wako na vizazi vyako vyote wataishi maisha ya kutembeza...
Wakuu
Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke.
Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote.
Tuzungumze kidogo kama...
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba.
Njemba...
Ni kweli wapo wengine pia wana njisia zote mbili kisukuma wanaitwa bhakima gosha(jike dume) haya ni maumbile yao walizaliwa hivyo na hawana namna.
Sasa kisayansi imekaaje hii watalaamu je kuna uwezekano iwapo mtoto akizaliwa akiwa bado mdogo akafanyiwa japo upasuaji na kuwa na jinsia moja tu...
Aina 4 Za Wanawake Wanaokimbiwa Zaidi Na Wanaume
1. Controllers
Hawa Ni Wale Wanawake Ambao,
Kwa Sababu Ya Elimu, Vyeo, Umaarufu, Upeo Wa Kufikiri na NGUVU Fulani Waliyonayo,
Huwa Wanataka Kumuweka Mwanaume Under Control.
Wengi Huwa Na Tatizo Linaitwa "Control Freak"
2. Boxing Women
Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.