Wasalaam wakuu
Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;-
UMRI
PESA
ELIMU/AKILI
Nikiona wanaume wenye makalio makubwa na mapaja mapana kama wanawake kama Bashiti, siishi kujiuliza kunani au kuna namna. Wenye kujua hali au ugonjwa huu wanielimishe. Naogopa kuwahukumu wenye makalio makubwa au mabashiti bila kujua sababu za hali hii.
Yani kazini wadada wananiambia, we mzuri au umependeza sana n.k lakini sijawai kuona jamaa wakisema kama ata ile ya kiume kua " aah mwanangu umetokelezea kinoma" kwanini? ni roho ya kwanini au ni nini? zaidi naona kama wengine wananionea wivu namna ninavyoshombokewa na watu. kwanini?
Shikamoon wakubwa wadogo zangu hamjambo.
Suala la Sisi wanawake kumzalia mtu si la bahati mbaya, yaani ukiona tu nimebeba ujauzito ujue kabisa muhusika nimempenda, kubwa zaidi huwa ni Sura na mwonekano wake pamoja na huduma zake.
Lakini sasa inapofikia mnakosana,hamuwezi kuishi pamoja,haina...
Nimeipenda sana kauli yake.
Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi:
"Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu wazuri...,"
Wewe vipi, una mawazo au nia kama hiyo kwa mke wako na watoto wako?. Kama unawaza kumwacha...
Ndio maana hata sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa ya mume mwenye wanawake wengi lakini sio ndoa ya mwanamke mwenye waume wengi.
Hii ni kwa sababu wao wameumbwa kukubali kushea mwanaume. Tofauti na wanaume.
Habari za Sabato!
Saikolojia iko hivyo.
Kihisia na kiakili mwanaume na mwanamke hawana tofauti yoyote ile.
Wanawake wana wivu kama tulivyo wanaume.
Wanawake wanatamaa ya ngono kama tulivyo wanaume.
Jinsi mwanaume ukikutana na mwanamke mwenye mvuto unamtamani licha ya kuwa una mke na watoto...
Ni lini machozi ya mwanaume yaliwahi kuthaminiwa?
Ni mwanaume gani anahisi au anawaza kuwa tegemezi?
Hivi unajua ,unathaminiwa na kuhurumiwa ukiwa mtoto tu,lakini baada ya hapo lazima ustruggle?
Hivi mnajua mwanaume hupaswi kudeka,kuringa wala kutaka kuonewa huruma?
Iko...
Tukiachana na hizi trends za tall dark/white handsome na kila mwanamke kudai kuwa na ndoto ya kudate na mwanaume mrefu.
Even though kuna wanaume ambao unakuta tunawaweka kwenye kundi la wafupi lakini utakuta bado wanawazidi wanawake wengi kwa urefu lakini chaajabu wanawake hao bado huwaita...
KUTAFUTA PESA: MTIHANI WA LAZIMA KWA MWANAUME.
Kwenye mtihani wa maisha ya mwanaume, kuna maswali ya hiari na la lazima, Swali la lazima ni moja tu: Kutafuta pesa na kuzipata.
Hili si swali la kuahirisha kwani ukiliruka basi umefeli mtihani wote.
Heshima nyumbani, sauti kwenye jamii, na hata...
Mwanamke anaweza kusamehe na kusahau ukimfanyia unyanyasaji, ukimpiga, ukimcheat n.k, lakini kamwe hawezi kusamehe ukionyesha udhaifu. Soon or later atakuadhibu tu.
Sasa utajuaje kama wewe ni mwanaume dhaifu kwa mwanamke.
-Unampa kipaumbele zaidi yako
-Unalia mbele yake
-Upo emotional sana...
Ugonile,
kabla sijaendelea wale wa 50/50 hapa sio pahala pake.
Binafsi sijaoa ivyo sitojikita sana kwenye mambo ya ndoa ingawa nmeishi na wanawake tofauti tofauti kwa nyakati tofauti na mpaka sasa ndo utaratibu wangu.
kwa jinsi tulivyoumbwa ni wazi mwanaume ni kichwa cha Familia huku mwanamke...
Wewe mwanaume uliye kwenye ndoa unaunga mkono ukeketaji kwa watoto wa kike?
Kama huungi mkono unauhakika kuwa hao watoto wako wa kike hawajakeketwa?
Hivi unajua kuwa baadhi ya wanawake (kwenye ndoa) hukeketa kwa siri watoto wako wa kike?
Hii hapa 👇ni mbinu maarufu ambayo mke wako anatumia...
Maisha ya kuwa baba wa kambo yanahitaji moyo wa chuma sana.umekaa zako sebuleni unakunywa zako chai kwa amani. Ghafla katoto kanakuja kakikimbia, kanakupanda mapajani na kukuita baba. Wewe unatabasamu kwa nje lakini ndani ya moyo kuna sauti ndogo inakuambia:
"Moyo, kumbuka huyu mtoto ni...
Hizi siku mbili tatu naona kidogo niwaletee mada za mahusiano tujadili sisi watu wazima.
Suala la kuchepuka kwa kawaida ni uhalifu ndiposa wanaofanya hivyo hutakiwa kufanya kwa kificho (sichochei bali nataka nitoe tahadhari kwa tafsiri yangu ya maisha niliyoshuhudia na kuona au kuhisi)
Matokeo...
Tafadhali wafundisheni watoto wenu wa kiume kwamba kuwa mwanaume mwema haimaanishi kuwa mtu wa kuvumilia dharau, misukosuko ya kihisia, udanganyifu wa kisaikolojia, au machafuko ya mara kwa mara kutoka kwa watu ambao hawajajifunza kuwaheshimu wengine kwa utu wa msingi.
Wavulana wengi hukua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.