Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
Kama unajijua kabisa 6 x 6 nguvu zimeisha, jogoo hawiki, dakika hufiki ushamaliza, n.k.
Mkeo akikwambia huwezi kumridhisha, ukaendelea kubaki nae, siku ukagundua kaanza kutoka nje kwajili ya sex, ni hekima ipi utatumia, kumkomoa anaeweza kazi au kukubali yaishe
Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine.
dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua.
Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30 uliwezaje kuacha?
ni kweli kila siku unasema unaacha alafu unajikuta unapiga ya mwisho?
Oscar Wilde anatoa mtazamo wa kejeli na wenye utata kuhusu mahusiano ya kimapenzi.
Akimaanisha kuwa mapenzi ya kweli mara nyingi huja na maumivu, wivu, hofu ya kupoteza, matarajio makubwa, na migogoro ya kihisia; hivyo mtu anaweza kuwa “mtulivu” zaidi katika uhusiano ambao haujafika kiwango cha...
Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine
Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
Ok, what is really special mfano hadi ichezewe afya ya akili kama mtoto mdogo.
Je ni makebo yake makubwa?, namna anavyokwea mnazi? Rangi yake utafikiri anaoga na maziwa?
what is really special hadi unajua unachezewa akili lakini bado umo?
Unalilia kwa demu ambae kila jioni a anajifanya kulia...
KUNA KAZI AU MAJUKUMU MWANAMKE AU MWANAUME AKIZIWEZA KUOA INAKUWA KIPENGELE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.
2. Wanaume kadiri anavyoshindwa majukumu Fulani anayoyaweza Mwanamke na kuyamudu majukumu ya kiume ndivyo anavyokuwa husband material. Vivyohivyo...
Kama wewe ni mwanaume na bado unaingia jikoni kupika au kujipikilisha, juwa bado wewe ni mtoto, bado hujakuwa; ukikuwa utaachana na hayo mambo.
Unatakiwa uambiwe, kaka/baba/babu/mume/shemeji chakula tayari karibu mezani.
Unakuta kijana anaamka saa Tano aisee yani mwanaume kabisa unaamka saa Tano na unandoto siku Moja uje uoe nakwambia utalea mimba za wanaume wenzako badilika kijana
In reality kwa miaka ya sasa wanawake wamekuwa majasiri wa kutafuta vipato kuliko wanaume sjajua wanaume tunakosea wapi au ndo...
Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu.
Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake.
Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
Iran imemnyonga mwanamume aliyekuwa akituhumiwa kuwa kiongozi wa mtandao unaohusishwa na idara ya ujasusi ya Israel na pia kushiriki katika kuchoma moto msikiti jijini Tehran wakati wa maandamano ya mwezi Januari, kwa mujibu wa chombo cha habari cha mahakama kiitwacho Mizan News Agency.
Mizan...
Tangu utotoni nasikia tu Miss World, why sisikii Mr World?
Kunahitajika kuwepo kwa Mr World ili dunia ijue kua wanaume wazuri/handsome wapo na mchango wao katika maisha.
Kama ikiwezekana tuanze na Mr Tanganyika, na niko tayari kuiwakilisha Dar-es-salaam na hata Tanganyika katika Mr World...
Wakuu habari,
Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na ameshafanikiwa yaani ka-settle tayari ana kila kitu kinachoitajika kwenye maisha ikiwa ni nyumba, gari...
Naungana na ndugu yangu Equation x .Mwanaume kuchepuka kuna faida nyingi sana kiuchumi. Embu fikiria leo hii wanaume kwa umoja tukakubaliana hakuna kuchepuka kila mmoja atulie na mpenzi/mke wake, nini kitatokea.
- Wanawake wengi sana watashindwa kuendelea na masomo ya chuo kikuu
- Wanawake...
Mwanaume mmoja mkazi wa kahama ame ibiwa sehemu zake za siri huko kahama.
Wazee hiki sio kitisho au utani mambo yamesha kuwa mabaya, aisee tutaisha aisee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.